KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, May 31, 2014

Thursday, May 29, 2014

STORI YA KUSISIMUA YA KAGUSA KIHESA MANJEMU JINSI ALIVYO PAMBANA MPAKA KUA DIRECTOR MKALI WA VIDEO ( STORY )

STORI HII INASIKITISHA NA INAFUNDISHA PIA KWA VIJANA NA WATANZANIA WANAOPAMBANA NA MAISHA YA KILA SIKU, NA WALIO KATA TAMAA. SOMA HAPA CHINI KUJUA NINI KILIMSIBU KAGUSA TOKA AUDIO PRODUCTION MPAKA KUA DIRECTOR WA VIDEO LEO. KARIBU..... Awali ya yote sipendi kufanya kazi huku nahuzunika na penda kufanya...

Sunday, May 18, 2014

MIALE SANAA GROUP - 990 WAMEKUFA (FILAMU - TRAILER)

  990 WAMEKUFA NI FILAMU MPYA NA YAKWANZA YA KUTISHA TOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI CHINI YA MIALE SANAA GROUP-IRINGA MJINI. KWA MUJIBU WA KHAMISI NURDINI KAMA MWENYEKITI WA MIALE SANAA GROUP AMESEMA ITAINGI MTAANI HIVI PUNDE. FILAMU HII INATEGEMEWA SISIMUA SAANA WATAZAMAJI KWA KUA IMEHUSISHA...

Saturday, May 17, 2014

Saturday, May 10, 2014

NEY LEE - NIKWELI ( BEHIND THE SCENE)

NEY LEE TOKA MBEYA SOON ATADONDOKA NA KICHUPA HATAARI HAIJAPATA TOKEA TOKA KWA DIRECTOR TENYA BROW CHINI YA ALAMA XP PRODUCTION MAFINGA. VIDEO HIO IMEFANYIKIA LOCATION MAFINGA, PLATNUM HOTEL NA MITAANI. VIDEO HII KAFANYIWA KAMA ZAWADI TOKA ALAMA XP PRODUCTION KAMA MSANII BORA WA KIKE NYANDA ZA JUU KUSINI....

Sunday, May 4, 2014

EMMANUEL KADUMA - KATIBA (NEW VIDEO)

EMMANUEL KADUMA NI MWIMBAJI NA MTAYARISHAJI YA MUSIKI ANAE MILIKI STUDIO KUBWA ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI INAYO TENGENEZA MUSIKI WA SAUTI ILIOPO IRINGA. EMMANUEL KADUMA, KAJA NA WIMBO ULOKUA UKISUBIRIWA KWAHAMU SAANA NA WATANZANIA UITWAO KATIBA. WIMBO HUO UMEZUNGUMZIA MCHAKATO WA UTAYARISHAJI WA...