NEY LEE - NIKWELI ( BEHIND THE SCENE)
NEY LEE TOKA MBEYA SOON ATADONDOKA NA KICHUPA HATAARI HAIJAPATA TOKEA TOKA KWA DIRECTOR TENYA BROW CHINI YA ALAMA XP PRODUCTION MAFINGA. VIDEO HIO IMEFANYIKIA LOCATION MAFINGA, PLATNUM HOTEL NA MITAANI. VIDEO HII KAFANYIWA KAMA ZAWADI TOKA ALAMA XP PRODUCTION KAMA MSANII BORA WA KIKE NYANDA ZA JUU KUSINI. ANGALIA BEHIND THE SCENE HAPA.
0 comments:
Post a Comment