KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, May 31, 2014

CLOUDY 9 & YC-KNOY - TANZANITE (IRINGA TO USA AUDIO)

Hii ni nyimbo iliyo chaguliwa kuingia kwenye mixtape ya pale USA coast 2coast mixtapes toka sampamba music Iringa Tanzania. Kusini Mwa Tanzania Wanazidi Uwasha Moto Mpaka USA wanaanza elewa sasa. Big up kwa Cloud 9, YC-KNOT  na sampamba Muzic kwa Ujumla.

0 comments:

Post a Comment