KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, November 17, 2013

SILVIA - nauliza why

ARTIST TOKA MBEYA, AJULIKANAE KAMA SILVIA, KASHUKA NA MZIGO MPYA UITWAO WHY? ULOFANYWA NA GACH-GREEN RECORDS, MBEYA.SHE HAVE GOOD VOICE, NICE BEAT, IMPRESSIVE......... KAMA HUAMINI FANYA KAMA UNAIDOWNOAD HAPA CHINI NA KUISIKILIZA. ANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. COMMENT ZAKO ZITAKUA MUHIMU PIA. MBEYA CITY STAND UPPPPPPP WITH SILVIA.

Friday, November 15, 2013

HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.

MKALI WAO IRINGA NA MIKOA YA KUSINI EMMO DA PRO' TOKA DA PROS ENTERTAINMENT, IKIWA CHINI YA USIMAMIZI WA EMMO DA PRO' MWENYEWE. INAVITU VINGI SAANA HII KITU. ANAHUSIKA NA VIDEO PRODUCTION, AUDIO PRODUCTION, DOCUMENTARIES PRODUCTION, GRAPHIC DESIGN, ADVERISEMENT NAPIA HUYU NDIO MKALI WA MUZIKI WA MIONDOKO YA POP NYANDA ZA JUU KUSINI NA TANZANIA NZIMA. CHAMWISHO KABISA NI KWAMBA YEYE NDO MWENYESEGMENT YA "GHETO VOICE" TOKA RADIO EBONY ILIOKO KILA JUMATANO SAA 08:30.  HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI MOJA KWA MOJA NA EMMO WAWEZA MPATA KUPITIA
emmo88@yahoo.com

Saturday, November 9, 2013

STANNA FT RAYMOND - RAP

STANNA THE BEST ARTIST FROM MBEYA NA MIKOA YA KUSINI KWA UPCOMMING ANAEFANYA HIPHOP. HUYU NDIO SERENGET SUPER NYOTA TOKA MBEYA 2013.NDO MKALI WA NEW SCHOOL ANAEKUJA TAKE OVER KWA HIPHOP OLD SCHOOL TANZANIA. KUELEWA NINI NAMAANISHA FANYA KAMA UNAIDOWNLOAD TRACK HII. BIG UP KWA QBASS QUALITY TOKA TABASAM MUSIC KWA KUFANYA MKITO UNIQUE NA QUALITY. SUPPORT YENU NDO KILAKITU WADAU. MIAAAAAAA.

SKOSA ft CLARENCE - NIMEKUA

MRITHI WA MIKOBA YA NIKKI MBISH HUYU HAPA, DOGO ANAEKUJA KWA KASI ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI KWA HIPHOP, KID SKOSA, production imefanywa na KESSIZKESH RECORDS - MBEYA. SOPPORT YAKO NA MAONI NDO KILA KITU KWA KIPAJI HIKI KICHANGA. Mwambieni Nikki Mbish Ajipange coz Mapinduzi yamewadia.

EMMO DA PRO' ft DJ NAS - PARTY TIME

EMMO DA PRO' MKALI MWENYE VIPAJI VILIVYO FICHIKA. NGOMA HII KATENGENEZA MWENYEWE KUANZIA BEAT MIXING MASHAIRI MPAKA POSTERS HII, PIA ANAFANYA VIDEO PRODUCTION. BUT JAMA KAFICHAMA SAAANA HUYU, COZ HAPENDI KUA MUWAZI NA VITU ALIVYONAVYO MPAKA NILIPOTUMIA NGUVU YA ZIADA KUUPATA MZIGO HUU, NDO AKAUACHIA. KIJANA WA KUSINI IRINGA TANZANIA ANAFANYA YAKE PIA. SUPPORT YAKO MDAU NDO THEBEST. MIAAAAA.