MKALI WAO IRINGA NA MIKOA YA KUSINI EMMO DA PRO' TOKA DA PROS ENTERTAINMENT, IKIWA CHINI YA USIMAMIZI WA EMMO DA PRO' MWENYEWE. INAVITU VINGI SAANA HII KITU. ANAHUSIKA NA VIDEO PRODUCTION, AUDIO PRODUCTION, DOCUMENTARIES PRODUCTION, GRAPHIC DESIGN, ADVERISEMENT NAPIA HUYU NDIO MKALI WA MUZIKI WA MIONDOKO YA POP NYANDA ZA JUU KUSINI NA TANZANIA NZIMA. CHAMWISHO KABISA NI KWAMBA YEYE NDO MWENYESEGMENT YA "GHETO VOICE" TOKA RADIO EBONY ILIOKO KILA JUMATANO SAA 08:30. HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI MOJA KWA MOJA NA EMMO WAWEZA MPATA KUPITIA
emmo88@yahoo.com
HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.
Posted by NAOMIKADUMA On 11:33:00 PM
Related Posts:
JOMLA RYDER - KAZA KISABUNI ( New Audio ) kupakua wimbo kwa jina "Kaza Kisabuni" toka kwa Jomla Ryder ikiwa ni mkono wa Producer Jose Blaize na mixing pande za Noizmekah Studios chini y… Read More
MWAKA MZIMA FT DAVIZO & MWIRORA - MUMYLOO ( New Audio ) kupakua wimbo kwa jina "Mumyloo" toka kwa "Mwaka Mzima ft Davizo & Mwiro ikiwa ni mkono toka Kalizone chini ya Goncher, kwa mawasiliano/mahojiano… Read More
GK Ft Vanessa Mdee, Rawdgers & Hoox – SHUKRANI ( New Audio ) BAADA YA UKIMYA WA GK WA ZAIDI YA MIAKA 7, AJA NAWIMBO MPYA AKIWA KAMSHIRIKISHA GK Ft Vanessa Mdee, Rawdgers & Hoox – SHUKRANI … Read More
MR TX FT ODIIJAMBO - KILILILII ( New Audio ) kupakua ngoma ya "Mr Tix" toka TLST crew yenye maskani pande za Mianzini Arusha akiwa amemshirikisha @Odiijambo toka Jambo Squad katika Ngoma kwa … Read More
Mandela the Sniper ft Zax 4real - Pata Nuru ( Audio ) artist from iringa mwenye dreams ya kuipeperusha bendera ya iringa national wides WIMBO: POATA NURU. STUDIO:BANTU RECORD (BEAT) AND GREEN RECORD … Read More
0 comments:
Post a Comment