Rapper Mansu-Li aliyewahi kutamba na mikito kibao ikiwemo "Kina Kirefu" sasa amerudi na kitu kipya "Usiku Mmoja" akimshirikisha Maullo!
Kuwa wa kwanza kupakua hapa >
Friday, July 31, 2015
LINAH - NO STARESS ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:05:00 PM
JITI TARAA - SINA HABARI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:01:00 PM
kupakua wimbo wa JITI TARAA kwa jina "Sina Habari" ikiwa ni HipHop Category na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Jiti Taraa kwa nambari +255 717 060 121 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
HEMEDY PHD - IMEBAKI STORY ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:29:00 PM
Sikiliza story iliyomtokea Hemedy Phd, mkasa alioamua kuutungia wimbo huu na kuutengenezea video ambayo inatoka hivi karibuni! #ImebakiStory
Pakua hapa >
YOUNG OMEGA - YUKO SIMPLE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:19:00 PM
kupakua wimbo mpya toka kwa YOUNG OMEGA kwa jina YUKO SIMPLE ikiwa ni ragga dancehall toka @noizmekah kwa @defxtro na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Young Omega kwa Nambari +255 752 437 953 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
Sunday, July 26, 2015
MBEYA BOY - WEWE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 9:36:00 PM
Msanii : MBEYA BOY feat FIDELOSSO
Wimbo : YANI WEWE
Producer : MUNTU MUNTU
Mobile number Mbeya Boy 0655633845
Muntu Muntu 0715845421
WANENE ENT - MOVIN ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 9:16:00 PM
kupakua "Wanene Ent presents Antoneyo,QuickRocka, Lavosti, FidoVato, DullySykes & DamianSoul wimbo kwa jina "Movin" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Wanene Ent kwa nambari +255 785 103 686 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
SHOLOLE & MZIWANDA ( Shiwonder) - GANDA LA NDIZI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:51:00 PM
Shilole pamoja na Nuhu Mziwanda au kama wanavyojiita SHIWONDER wanakuletea drama mpya iitwayo GANDA LA NDIZI. Pakua wimbo hapa
KINGOTO MMBONDE - NIPE NIKUPE ( New Audio)
Posted by NAOMIKADUMA On 8:34:00 PM
Emanuel Austin ni mzaliwa wa Tanzania anayefanya muziki Ujerumani. Hivi punde ameachia wimbo mpya uliotayarishwa na Fundi Samweli akimshirikisha Ben Pol katika wimbo huo!
Pakua hapa
Wednesday, July 22, 2015
TIZAMA HAP VIDEO YA SALIMU MKWAWA TOKA KWA Barnaba - Marry yoU {by Mkwawa}
Posted by NAOMIKADUMA On 3:49:00 PM
NIMEKUSOGEZEA LEO VIDEO ILOACHIWA MASAA MACHACHE YALOPITA TOKA IRINGA, IKIWA IMEFANYWA NA DIRECTOR NICLASS, YA SALIMU MKWAWA AKIWA KAURUDIA WIMBO WA BARNABA - MERRY YOU.
NAVY KENZO FT VANESSA MDEE - GAME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:10:00 PM
Kikundi cha Navy Kenzo akiwemo mshindi wa tuzo ya KTMA 2015 producer bora wa mwaka pamoja na Aika wanakuletea wimbo wao mpya GAME. Pia wamemshirikisha mshindi mwenzao wa KTMA 2015 Vanessa Mdee. Pakua wimbo hapa:
G NAKO FT NIKKI II - LAINI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:35:00 PM
kupakua wimbo wa G-Nako na Nikki wa 2 kwa jina "Laini" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nao Kwa @gnakowarawara @nikkwapili powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @weusikampuni @joh_makini @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
--
PANIPAIN FT NAKAAYA - LIVE ONE TIME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:26:00 PM
kupakua wimbo wa Straton Panishit aka "Pani Pain" @panipain akimshirikisha Legendary mwanadada Nakaaya wimbo Hiphop Category kwa jina "Live One Time" na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na PANI PAIN kwa nambari +255 718 160 548 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
ONE THE INCREDIBLE FT DAMIAN SOUL - YEYE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:17:00 PM
Kutoka kwenye albam ya R.A.P, sikiliza wimbo huu wa One The Incredible akimshirikisha Damian Soul - YEYE.
Wimbo huu umetayarishwa na Dunga kutoka Mandugu Digital
Link >
MARK DONE FT BOUMAN - WAKUBALI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:06:00 PM
kupakua wimbo wa MarkDone ft BouMan-Wakubali na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nao Kwa nambari +255 783 460 269 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
Subscribe to:
Posts (Atom)




























