KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, July 22, 2015

NAVY KENZO FT VANESSA MDEE - GAME ( New Audio )


Kikundi cha Navy Kenzo akiwemo mshindi wa tuzo ya KTMA 2015 producer bora wa mwaka pamoja na Aika wanakuletea wimbo wao mpya GAME. Pia wamemshirikisha mshindi mwenzao wa KTMA 2015 Vanessa Mdee. Pakua wimbo hapa:

0 comments:

Post a Comment