KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, May 7, 2013

MUGODA TRADITION BAND

Kama kawaida mzigo mwingine huo hapo kwa watoto wa nyanda za juu kusini wakitokea mafinga-IRINGA
wamesha achia nyimbo yao mupya inayoitwa MALAIKA inayo patikana kwenye Albam ya pamoja kati ya DOGO SCOPE NA TENYA BROWN inayoitwa PAMWAMBU.Mzigo wanguvu tayari umesha anzakufanya vyema kwenye vituo mbalimbali pamoja na kwenye mitandao mbalimbali. tafuta.. www.hulkshare.com/Malaika by Dogo Scope & Tenya Brown

I'm listening to Malaika.mp3 @Hulkshare:

Tuesday, April 16, 2013

Saturday, April 6, 2013

TANGAZO


Blog pekee Toka Nyanda za Juu Kusini Mwa Tanzania, Inayo Vumbua, Tangaza, na Sambaza vipaji mbalimbali Duniani kwote, kwa manufaa ya Msanii Moja kwa moja, na sio Bloger. Inafanya kazi masaa yote na Bure kwa Mwenye kipaji chechote, Bila Gharama yoyote toka kwa Msanii, Sharti likiwa ni moja tuu. Awe Mkazi wa Nyanda za Juu kusini, ama Mzawa, nikiwa namaana toka Mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma, Na Rukwa, Lengo Likiwa ni Kuvumbua, Tangaza, Sambaza, Na Endeleza kazi za wasanii na vipaji vyao toka Mikoa ya Kusini Mwa Tanzania.
Jiskie Huru unapokua nasi wakati wooote.
Usiogope, Karibu (free of Charge)

contact us throgh; selengakaduma@gmail.com or 0653 36 30 05.
YOUR MOST WELCOME.

Sunday, March 31, 2013

Tuesday, March 12, 2013

Monday, March 11, 2013

Jay Mutta ft Yaki - CHEMBA ZINAVUNJIKA

Track Mpya Kabisa na Hatari toka kwa Jay Mutta ft Yaki itakayokwenda kwa jina la CHEMBA ZINAVUNJIKA. Tayari isha kamilika na Inazungumzia Ugumu wa maisha halisi ya Mtanzania kwa sasa, Beat Mpaka Mixing ikiwa imefanywa na Amba. Track Hii inategemea Ingia Mtaani Mapema Wiki Ijayo. Track Hii ina Beat Kali na Hasa Chorus Hataaari + Mashairi yaloenda Shule. Swali la kizushi, Unadhan kati ya Mutta na Yaki Nan atakua kamfunika mwenzie? Next weeck tutapata Jibu.

Saturday, March 9, 2013

Wednesday, March 6, 2013

Monday, February 18, 2013

Monday, February 11, 2013

Thursday, February 7, 2013

Maisha halisi ya Selenga Kaduma.

 Hizi ni moja ya edditinga ambazo hua anafanya Selenga Kaduma Akiwa ametulia Magheton Kwake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?

Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.

Tuesday, February 5, 2013

Thursday, January 31, 2013