Saturday, June 15, 2013
Niwe NAwe By Lonka Lonkan from Rebith Production
Posted by NAOMIKADUMA On 1:53:00 PM
Niwe NAwe @Hulkshare:
Sikiliza track kaliii toka kwa Lonka Lonkani Mkono wa Kagusa Chini Ya Rebith Production Iringa. Furahia radha tofautii sikuzote kupitia
www.selengakaduma.blogspot.com
Sikiliza track kaliii toka kwa Lonka Lonkani Mkono wa Kagusa Chini Ya Rebith Production Iringa. Furahia radha tofautii sikuzote kupitia
www.selengakaduma.blogspot.com
Sunday, June 9, 2013
Malaika.mp3 @Hulkshare:
Posted by NAOMIKADUMA On 10:32:00 AM
Tuesday, May 7, 2013
MUGODA TRADITION BAND
Posted by NAOMIKADUMA On 7:07:00 PM
Kama kawaida mzigo mwingine huo hapo kwa watoto wa nyanda za juu kusini wakitokea mafinga-IRINGA
wamesha achia nyimbo yao mupya inayoitwa MALAIKA inayo patikana kwenye Albam ya pamoja kati ya DOGO SCOPE NA TENYA BROWN inayoitwa PAMWAMBU.Mzigo wanguvu tayari umesha anzakufanya vyema kwenye vituo mbalimbali pamoja na kwenye mitandao mbalimbali. tafuta.. www.hulkshare.com/Malaika by Dogo Scope & Tenya BrownI'm listening to Malaika.mp3 @Hulkshare:
Tuesday, April 16, 2013
Mandela The Sniper FT Raymond ---Shida z...
Posted by NAOMIKADUMA On 9:30:00 AM
Mandela The Sniper FT Raymond ---Shida z...
http://www.hulkshare.com/tfj8620bf3sw
http://www.hulkshare.com/tfj8620bf3sw
Saturday, April 6, 2013
TANGAZO
Posted by NAOMIKADUMA On 10:45:00 AM
Jiskie Huru unapokua nasi wakati wooote.
Usiogope, Karibu (free of Charge)
contact us throgh; selengakaduma@gmail.com or 0653 36 30 05.
YOUR MOST WELCOME.
Sunday, March 31, 2013
Nas Wa Kitaa Ft. Dachi Machine - Kizuri Hakidumu
Posted by NAOMIKADUMA On 11:11:00 AM
http://youtu.be/y_T8FlXloK4
Tuesday, March 12, 2013
YAKI - Bila Wao
Posted by NAOMIKADUMA On 8:01:00 PM
Monday, March 11, 2013
Jay Mutta ft Yaki - CHEMBA ZINAVUNJIKA
Posted by NAOMIKADUMA On 6:30:00 PM
Track Mpya Kabisa na Hatari toka kwa Jay Mutta ft Yaki itakayokwenda kwa jina la CHEMBA ZINAVUNJIKA. Tayari isha kamilika na Inazungumzia Ugumu wa maisha halisi ya Mtanzania kwa sasa, Beat Mpaka Mixing ikiwa imefanywa na Amba. Track Hii inategemea Ingia Mtaani Mapema Wiki Ijayo. Track Hii ina Beat Kali na Hasa Chorus Hataaari + Mashairi yaloenda Shule. Swali la kizushi, Unadhan kati ya Mutta na Yaki Nan atakua kamfunika mwenzie? Next weeck tutapata Jibu.
Saturday, March 9, 2013
J-Young the Young Producer
Posted by NAOMIKADUMA On 1:15:00 AM
J-Young the young Producer In Town On Location Mafinga.
Stay Tuned wakazi wa Mafinga na Nyanda Za Juu kusini kwa Ujumla.
Dr Tenya Brown on Location at Mafinga.
Posted by NAOMIKADUMA On 12:46:00 AM
the young Director Tenya Brown On Location Mafinga Mapema wiki hii. Unataka jua kichupa cha nani kilikua kinahusika hapo? Stay tuned....
Wednesday, March 6, 2013
Nas Wakitaa ft Steve Rnb - Haliahalisi
Posted by NAOMIKADUMA On 9:10:00 AM
Tuesday, February 26, 2013
Monday, February 18, 2013
NAS WAKITAA FT DACHI - KIZURI HAKIDUMU.
Posted by NAOMIKADUMA On 8:31:00 AM
https://docs.google.com/file/d/1DEPxZxUSn2Z55o_V8oK6DJ11ErGQ-ovlkUsAjhEOnp9mI98rt53WBrlCF8KE/edit?usp=sharing
Monday, February 11, 2013
NASHUKURU UMERUDI BY RECHO
Posted by NAOMIKADUMA On 10:29:00 PM
Thursday, February 7, 2013
Maisha halisi ya Selenga Kaduma.
Posted by NAOMIKADUMA On 9:01:00 AM
Hizi ni moja ya edditinga ambazo hua anafanya Selenga Kaduma Akiwa ametulia Magheton Kwake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?
Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?
Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.
Tuesday, February 5, 2013
Lonka ft.Neybar-Muziki Na Maisha.
Posted by NAOMIKADUMA On 2:24:00 PM
Saturday, February 2, 2013
Friday, February 1, 2013
Thursday, January 31, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)










.jpg)




