KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, October 26, 2018

VIDEO | Ibrah Nation - Nieleze (Official Music Video)


#Nieleze Is Written By Ivra Video directed by Nicklass Location: #tanzania Audio Produced By Ringtone,Epic Studio. #Tanzania LYRICS: Verse 1: Ona nguvu zimeniisha Ghafla nimekua bubu Kama mtoto najiliza Nifute chozi malikia wangu Kulikosa penzi lako shida Napata homa Unanifanya nichukie mapenzi Nayaogopa Hook: Au sababu mchizi anahudumia Hajakupenda kweli anakutumia Yuko na wewe na nyumbani ana mke pia Hunitaki single boy yoh nami na moyo Chorus: Mamy nieleze,nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi ✖2 Verse 2: Kwenye basi lako mi ndio abiria Ukinishusha njiani utanionea Mi nashambuliwa maradhi naugulia mwenyewe ✖2 Mpaka natamani upofu Macho yangu yasikuone Moyo unachomwa mwiba Nikikuona unatoka na yeye Hook: Au sababu mchizi anahudumia Hajakupenda kweli anakutumia Yuko na wewe na nyumbani ana mke pia Hunitaki single boy yoh nami na moyo Chorus: Mamy nieleze,nieleze Niendelee kusubiri Au nafsi najikatili mimi ✖2 Outro: Hata siwezi kusonga Mbele naona jau Eti nikimbie kinyonga Mbona nimaajabu Ndio ivo tena apeche alololo Labda nitapataga tomorrow Nikupe Magari ya kifahari Na nyumba Morogoro

0 comments:

Post a Comment