KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, October 30, 2016

B-Alone - Nakupenda Mama | Video

Baada ya Ukimya wa takribani miaka mitatu sasa, Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la B Alone alie Vuma saana na Kibao cha Kombolela wakati Huo, Leo karejea tena na video Mpya iitwayo Nakupenda mama. Kama Hujaitizama Unaweza Gusa Player ya Video hio hapa chini....

Friday, October 28, 2016

Sunday, October 16, 2016

Ommy-Dar - Hofu | Audio

Msanii Ommy Dar ameamua kuja na ujio mpya  wa wimbo wake  unaitwa Hofu wimbo umetayarishwa na Producer Silley kutoka Recording label ya Sampamba music[S.M.G] iliyopo nchini Tanzania Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha download hapa chini Kuusikiliza ukiwa online gusa hapa chin...

Saturday, October 15, 2016

Sunday, October 9, 2016

Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man - RIP (REST IN PUBLIC)

Artist- Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man Track- RIP (REST IN PUBLIC) Producers- Silley & Teknohama  Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha Download Hapa chini... Kuusikiliza huku ukiwa online Bofya kitufe cha Play Hapa chini....

Trio - Friends | Audio

The songs talks about a guy wanting to be lovers with his best friend girlfriend since he cant make that happens he just he wishes that they can just be friends ..composed and written by Gach,Trio also there are involvement of other artist voices Gestryder and Rayvanny.Green records Unaweza...

Saturday, October 8, 2016

Je Unakipaji cha Kuimba? Sampamba Music Yatangaza nafasi za Bure kwako | News

Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia? kama unakipaji kizuri cha kuimba na kutunga Sampamba Music inakupa nafasi wewe msanii au muimbaji wa Bongo flava na Gospel na kukusaidia kurecord bule kabisa katika studio ya Sampamba Music iliyopo nchini Tanzania Inayojulikana kwa jina la Sampamba...