Sunday, August 28, 2016
Polo ft Palmo - Marry you |
Posted by NAOMIKADUMA On 12:11:00 PM
Polo_Ft_Palmo_Marry you_Official Video
Polo is a female record artist based in Dar es Salaam Tanzania, signed under 8milebeats music group, music label in the year 2015. Marry you is her first song to be released in her album SKY IS THE LIMIT featuring Tanzanian record producer palmo, who is also the song"s producer.Enjoy
Snaida ft Sein Sein F.M.D | Video
Posted by NAOMIKADUMA On 12:11:00 PM
The Light - Isabela | Video
Posted by NAOMIKADUMA On 11:53:00 AM
Tuesday, August 23, 2016
Gifted Son - I Am Gifted | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 12:41:00 PM
Kuusikiliza Online Bofua hapa chini
Mwanamke Jeuri Hapigwi, ila ......| Comedy
Posted by NAOMIKADUMA On 12:33:00 PM
Tumia Dk 1:16 Kutizama kichekesho cha Mchekeshaji Shamoon Shaibu aka Kitasa katika Kipande kidogo cha Video hii hapa chini.
Sunday, August 21, 2016
Babbi - Follow Me | Video
Posted by NAOMIKADUMA On 1:16:00 PM
Dogo Mwange - Mwajuma | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 1:10:00 PM
Gami Dee - Kayogo | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 12:57:00 PM
GreenGold - kwako | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 12:50:00 PM
kuusikiliza Online Gusa hapa chini
Tuesday, August 16, 2016
Mo talent~tulia | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 2:04:00 PM
BABYBOY MAPOZY - DADY WHERE ARE YOU | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 1:56:00 PM
Kuusikiliza online bofya hapa chini
Zamo Lee - Mwendo Kasi | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 1:28:00 PM
au kuusikiliza online unaweza bofya hapa chini
Friday, August 12, 2016
Basaga ft Vole welle - Wana Ndoto (Cover) | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 2:51:00 PM
Pakua wimbo wa Marudio wa Mwanamuziki Basaga uitwao Wanandoto, Ambao mwanzo ulifanywa na Mwanamuziki Kala Jeremiah. Bofya kitufe cha Download hapa Kuupakua wimbo huu.
Kuusikiliza ukiwa Online Bonyeza hapa kwenye kitufe cha Play
Add caption |
Tino mafia– Sina Raha | Video
Posted by NAOMIKADUMA On 2:04:00 PM
Kuutizama wimbo huu bonyeza hapa chini...
Thursday, August 11, 2016
Barua ya wanandotokwa kwa Media zenye vikwazo | Barua
Posted by NAOMIKADUMA On 4:27:00 PM
Inasikitisha sana kuona baadhi ya vyombo vya habari haviupi promotion ya kutosha wimbo wa wanandoto wa kala jeremiah. Ukizingatia wimbo huo unaongelea maswala ya watoto yatima inamaana vyombo vya habari havinauchungu na watoto yatima. Wimbo siyo wa watoto yatima tu bali ni wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu. Kama mtu anabisha kuwa huu siyo wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu aniambie ni wimbo gani unauzidi wanandoto. Hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa muziki wetu. Tumesahahau tulikotoka na hatujui tunapokwenda. Wimbo wa wanandoto naufananisha na wimba wa starehe wa ferouz hii inamana ferouz angetoa wimbo huu miaka hii usingechezwa kama ulivyochezwa na usinge kubalika kama ulivyokubalika.watu wa vyombo vya habari tuweni wa kweli mtu akifanya kitu kizuri kisapotini. Basi hata fanyeni kwa ajili ya watoto yatima. Au watoto yatima sichochote kwenu?.simanishi vyombo vya habari vyote ila baadhi hawautendei haki wimbo huu.
Hivyo kama Mdau wa Muziki na kama unamchango katika sanaa ya Muziki, unaombwa kua real katika kusaport kazi nzuri na zenye matokeo Chanya katika jamii.
By Selenga Kaduma
Wednesday, August 3, 2016
Muntu Muntu Baby - Ndigima | Audio
Posted by NAOMIKADUMA On 2:13:00 PM
Au unaweza usikiliza ukiwa Online kwa kubofya kitufe chenye alama ya play hapa chini.
Subscribe to:
Posts (Atom)