KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, July 1, 2016

Hassan Kiandi ft Pol Mapicha - Chap Chap | Video


Nomekusogezea Video mpya ya Msanii mchanga toka Rukwa Sumbawanga ajulikanae kama Hassan Kiandi akiwa kamshirikisha Pol Mapicha. video inakwenda kwa jina la Chap Chap, imetengenezwa na Evo Media chini ya Director Emmo Da Pro.

0 comments:

Post a Comment