KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, July 31, 2016

Filamu Mpya Kali ya Mahusiano Kuingia Mtaani hivi punde | Coming Soon

"FIGISU LA NDOA"

Figisu La Ndoa (Official Movie Trailer)


ARTIST: A Fighters Arts Family
PRODUCTION: FAF & TNE Studio
EXECUTIVE PRODUCER: Fighters Arts Family
DIRECTED BY: Philip Nicholaus
WRITTED BY: Steven Kalinga


CONTACT:
Email: fightersartsfamily@gmail.com
Follow on Youtube: @fightersartsfamily
Follow on Facebook: fightersartsfamily
Follow on whatsApp: +255 656 722223
Mobile: +255 655 665650 +255 764 722422 +255 672 539726

Wednesday, July 27, 2016

Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Audio


Nafasi yako nyingine tena Kuusikiliza wimbo mpya wa Mwanamuziki Kala Jeremiah uitwao Wanandoto. Wimbo huu kamshirikisha bint mwenye umri mdogo ambae anakipaji pekee aitwae Miriam Chirwa. Umefanyika chini ya Mikono ya Zest Moja Moja Records. Kuupakua Gusa kitufe chekundu hapa chini chenye neno Download....

https://my.notjustok.com/track/download/id/114232



Kuusikiliza Online Bonyeza Kitufe cha alama ya Play Kwenye player hapa chini...

Monday, July 25, 2016

Thursday, July 21, 2016

Wednesday, July 20, 2016

Swagg Daddie ft Rogger & Ding Dong Ferrary - About Love | Audio

Swagg daddie
         FT
Ding dong Ferrari
           n
Roger de Maker
Song;about love
Producer:Roger de maker
Studio:Xfer Lab

Unakaribishwa upakua wimbo huu kwa kubofya kitufe cha Download hapa chini.
https://my.notjustok.com/track/download/id/112265
Kwa kusikiliza online bonyeza Kitufe chenye alama ya Play hapa chini

TIZAMA HAPA PICHA 15 ZA UJIO WA VIDEO MPYA YA KALA JEREMAYA | Photos
















Hizi ni baadh tu ya picha toka location ambazo Mwana muziki Kala Jeremaya ana video yake tayari mkononi na audio Inayokwenda kwa jina la Wanandoto Anavyo taraji achia Rasmi mtaani tar 26/07/2016 saa 9 mchana. Pia katika video hio inasemekana Ameshirikishwa binti Mdogo mwenye kipaji cha kipekee kwenye muziki. Endelea kuungana nami hapa ili kua wakwanza kuipata video hii na audio yake kwakutembele hapa hapa.

Saturday, July 16, 2016

Thursday, July 14, 2016

Saturday, July 9, 2016

MAKAVU LIVE YA 2N MKULIMA BISHOW DHIDI YA MEDIA ZA MBEYA. | General News

Mwana muziki mkongwe wa Hit song ya Jembe (Zamani) na Sinema Remix (Sasa) tokea dar, Amekua na ziara yake ya media tour kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa muda wa mwezi mmoja sasa ambapo ziara yake imeisha rasmi leo tar 09/07/2016 ikiwa kama sehemu ya yeye kuitambulisha nyimbo yake mpya na kuaanza andaa maandalizi ya ujio wake wa album yake mpya. Akiwa katika tour hio amekiri pata Support kwa kiasi kikubwa kwa mikoa yakusini mwa Tanzania isipokua Mbeya. Nini kimemkumba zaidi some hapa chini kupitia post yake ya Instagram


Asante MUNGU nimemaliza media tour YANGU ya Nyanda japo vikwazo vilikua vingi sana sana katika jijini Mbeya niliumia sana sana jiji nililozaliwa na Kukulia hapo kunyimwa kabisa ushirikiano wengine wakidiliki kuniomba chochote kwanza ndo nisapotiwe wakati kote nilikoanzia cjaobwa chochochote na nilisapotiwa kwa nguvu zote ni radio moja tu Mbeya iliyokubali kunisapoti bila kikwazo chochote thanx bomba FM 100.4 mbeya @shaban_nassoro @dj_speedbrother @killerbwoy Asante radio zote Za nyanda za juu kwa ushirikiano wenu kwa wasanii wa nyanda za juu kusini kwa sapoti ya ukweli izi radio nimefanya intar view bila kipingamizi na ushirikiano wao kwangu wa kutosha ebony FM iringa@fredoombunji Nuru Fm @rogermagoha Makambako aice fm @gamideetz Njombe kings fm@robbydabby Uplands fm@ergonelly Sumbawanga ndingala FM @emmodapro100 Chem chem radio @petetmalema @vjyusto Nkansi FM @djmwinyi Ludewa green FM @edwinmoshi Blogger Mkubwa Nyanda za juu kusini @selengakaduma Kitulo Fm @giftkyando Asante sana Nyanda za juu kwa hiii sapot @2n_mkulimabishow

A photo posted by 2n mkulima bishow (@2n_mkulimabishow) on

Friday, July 8, 2016

Monday, July 4, 2016

Sunday, July 3, 2016

Saturday, July 2, 2016