STAMINA FT MR BLUE - PANGA PANGUA ( New Audio )
Stamina ameachia album yake aliyokuahidi Mt. Uluguru ikiwa na nyimbo 20!
Licha ya hiyo, Stamina ameongeza nyimbo 6 BONUS kwenye album hiyo ambazo zitakuwa zikipatikana www.selengakaduma.blogspot.com kwa widget za Mkito.com
Wimbo wa kwanza kwenye bonus hizo ni huu hapa akimshirikisha Mr Blue, Panga Pangua!
0 comments:
Post a Comment