Dilemma ni web series ya lugha ya kiswahili, inayohusu maisha ya wanachuo na mapenzi yaliyojawa na usaliti, ugomvi na furaha.
Hii ni tamthilia inayokuja amabayo itakuwa inaonyeshwa youtube
imetengenezwa na vijana wa iringa kuwakilishwa kusini mwa Tanzania. Stay Tuned for that.
0 comments:
Post a Comment