KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, January 20, 2016

MACHO KWENYE FEDHA ( New Audio )


wimbo mpya wa Dj nass anajulikana kama Iringa boy akimshirikisha Rapper Nemy Mc.na Mkwawa wasanii toka nyanda za juu kusini.wimbo huu umeandaliwa katika studio za Sampamba Music zinazo julikana kwa jina la S.M.G Wimbo unaitwa Mcho kwenye Fedha

0 comments:

Post a Comment