KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, December 31, 2016

Trubadour - Mahakama ya mwanzo | Audio

Track- MAHAKAMA YA MWANZO Artist- TRUBA Produced by Proba Time records Huu ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya utamaduni...

Monday, December 12, 2016

Sio Bure - Come Dash Ft Baraka Da Prince | Audio

Singer Name;-Come Dash Ft. Baraka Da PrinceSong Name:-Sio Bure Country;-Tanzania      Genre;-Bongo Fleva Producer;-Mr t touch Hi,I hope you're doing well. This is brandy new song from Touchez Studio by  Artist;-Come Dash Ft. Baraka Da Prince  track;-Sio_BureWe thanks...

Sunday, December 11, 2016

Monday, December 5, 2016

Sunday, October 30, 2016

B-Alone - Nakupenda Mama | Video

Baada ya Ukimya wa takribani miaka mitatu sasa, Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la B Alone alie Vuma saana na Kibao cha Kombolela wakati Huo, Leo karejea tena na video Mpya iitwayo Nakupenda mama. Kama Hujaitizama Unaweza Gusa Player ya Video hio hapa chini....

Friday, October 28, 2016

Sunday, October 16, 2016

Ommy-Dar - Hofu | Audio

Msanii Ommy Dar ameamua kuja na ujio mpya  wa wimbo wake  unaitwa Hofu wimbo umetayarishwa na Producer Silley kutoka Recording label ya Sampamba music[S.M.G] iliyopo nchini Tanzania Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha download hapa chini Kuusikiliza ukiwa online gusa hapa chin...

Saturday, October 15, 2016

Sunday, October 9, 2016

Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man - RIP (REST IN PUBLIC)

Artist- Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man Track- RIP (REST IN PUBLIC) Producers- Silley & Teknohama  Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha Download Hapa chini... Kuusikiliza huku ukiwa online Bofya kitufe cha Play Hapa chini....