TRUBADOUR - RAISI NI? ( New Audio )
artist- Trubadour
Track- RAISI NI
Wimbo unaoelezea maisha ya watanzania walio wengi na kutoa mawazo chanya katika ufanyaji maamuzi ya kumchagua kiongozi mkuu wa nchi atakayegusa matatizo waliyonayo sio kwa ajili ya ushabiki. watu wote wanatakiwa kujivisha uhusika wa wimbo huu na kufanya maamuzi sahihi siku ya uchaguzi.
0 comments:
Post a Comment