MWAKA MMOJA SASA UMEPITA TANGU MWANAMUZIKI ATTU CHAWE AKA ATTU MIVOKO AACHIE HIT SONG YAKE IJULIKANAYO KAMA Do you Love me , alomshirikisha Mwanamuziki Ibra. HITSONG HIO ILIFANYWA KATIKA STUDIO ZA BANTU MUSIC ZILIZOKUA IRINGA KWASASA DAR MWENGE CHINI YA PRODUCER GERALD NA LUSUNGU. WIKI HII KUNA MWANAMUZIKI MCHANGA WAKIKE TOKA DAR ES SALAAM AJULIKANAYE KAMA HAPPY SULEIMAN KAJITOKEZA NAKUDAI WIMBO HUO NIWAKE AKIWA KAUTAMBULISHA KWENYE RADIO MBALIMBALI NCHINI NA TV STATION IKIWEMO EATV KENYE KIPINDI CHA E NEWS.
MWANADADA HAPPY SULEIMAN ALIEJARIBU DHURUMU WIMBO WA ATTU NAKUUTAMBULISHA
HAPA UNAWEZA ONA MWANADADA HAPPY SULEIMAN AKIJARIBU JITETEA KWENYE BAADH YA MAGROUP YA WHATSAPP
TIZAMA ALICHOKIZUNGUMZA MWANAMUZIKI ATTU MIVOCAL HAPA, KAMA ULIPITWA NASTORRY HII.
0 comments:
Post a Comment