KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, September 30, 2015

COMING SOON: BAADA YAKIMYA KIREFU SASA MABESTE KUTUA NA VIDEO MPYA TAR 2/10

Ijumaa ya tare 2/10 Utaungana nami hapa www.selengakaduma.blogspot.com Kua wakwanza kuiona video mpya ya Mabeste akiwa kamuweka Video Queen Mkekewe Lisa. Sitosita kua wakwanza kukusogezea Hii. TIZAMA KIONJO KIDOGO KWAKUBOFYA LINKI HAPO CHINI https://www.facebook.com/selenga.kaduma/videos/1157290167619562/?l=3658889585619895139

COMING SOON: UJIO WA CHIZIKA APPS, HII NIHABARI NJEMA KWA MASLAHI YA WANAMUZIKI WOTE TANZANIA


Official Launch of Chizika App 2nd October 2015. Share, Stream, Enjoy and download music you like easly with Chizika. cc @chizika.app Utaweza kuuza album, single na mixtapes fan wako akiwa anatumia chizika app. kwa download 1 itakua ni 250 ndani ya tz na msanii anapata 60% na nje ni 0.5$ na msanii anapata 50% Mkombozi wawa sanii mpya anakuja. Zaidi utajuzwa kupitia www.selengakaduma.blogspot.com

TRUBADOUR - RAISI NI? ( New Audio )


artist- Trubadour Track- RAISI NI Wimbo unaoelezea maisha ya watanzania walio wengi na kutoa mawazo chanya katika ufanyaji maamuzi ya kumchagua kiongozi mkuu wa nchi atakayegusa matatizo waliyonayo sio kwa ajili ya ushabiki. watu wote wanatakiwa kujivisha uhusika wa wimbo huu na kufanya maamuzi sahihi siku ya uchaguzi.

JOJO - NAKUHITAJI ( New Audio )


Mambo vipi wadau? Dada yetu, mshkaji flan amazing anaitwa JOJO anaomba support yenu katika kazi yake mpya. Ni audio. Jina la Wimbo | NAKUHITAJI Jina la Msanii | JOJO Jina la Studio | KALI NATION Jina la Producer | JAYSSON Instagram | jojo_le_swt Whatsapp | 0785850964

BEN POL FT AVRIL & ROSSIE M - NINGEFANYAJE ( New Audio )


Anayejulikana kama undisputed king of RnB BEN POL amerudi tena baada ya kibao chake Sofia na kukuletea wimbo wake mpya aliyomshirikisha AVRIL. Usipitwe na hit mpya kutoka kwa BEN POL - NINGEFANYAJE? _______________________ The undisputed Tanzania's King of RnB is back with a Brand new RnB Ballad called Ningefanyaje to be release 24th September, 2015. This song features Kenya’s Sweetheart Avril and Tanzania’s upcoming songbird Rossie M. This project is produced by Mswaki. Ben Pol has taken part in Coke Studio Season 3 which will be aired on 10th October, 2015 and Ningefanyaje is among the songs he performs with a live band of Coke Studio in Nairobi, Kenya. On Coke Studio Ben Pol is paired and collaborated with Kenya's Wangechi. This single comes as a follow up of the successful hit record called Sophia which was released on 15th January, 2015. Sophia is rated the longest chart topping single of 2015 so far. Sophia has spread on airwaves and crossed boarders all over the East African Region and some other parts of Africa. ______________________ Instagram: @iambenpol FaceBook: www.facebook.com/IAmBenPol Twitter: www.twitter.com/iambenpol for Bookings Contact +255 788 761 530

Friday, September 25, 2015

DOCUMENTARY: KUTANA NA NGUZO YA #02 ( DjYing ) YA HIPHOP KATI YA NGUZO #09 ZASASA TOKA KWA WITNESZ KIBONGE MWEPEC

HILI NIDARASA HURU KWA WANA HIPHOP WOTE DUNIAN, KUHUSIANA NA NGUZO ZA HIPHOP. DARASA HILI LIMEANDALIWA KWAMFUMO WA SAUTI NA MWANAMUZIKI WA HIPHOP WAKIKE TANZANIA WITNES MWAIJAGA AKIJULIKANA KAMA WITNESZ KIBOMGE MWEPEC. LEO AMEENDELEA KWAKUELEZEA NGUZO YA PILI KATI YA NGUZO TISA AMBAYO NI DJYING. IKUMBUKWE HAPO MWANZO ZILIKUA ZIKIJULIKANA NGUZO 4 BADAE IKAONGEZEKA 1 NAKUA NGUZO 5 NASASA TUNAONGELEA NGUZO 9. UNATAKA JUA KIUNDANI ZAIDI LIKO VIPI HILI?... SIKILIZA KWAKUDOWLOAD STORI NZIMA KWENYE GADGET YA MKITO.COM HAPO CHINI.

NAKAAYA FT LADY JAYDEE - SISTA SISTA ( New Audio )


" I wrote this record in 2009 alongside an artist that i had looked up to, whom later on became a dear friend @jidejaydee It was produced by @dunga_santury_trinity at Fishcrab studios. The idea behind the song was an artistic idea of two close friends/ sistas dating the same man, and the expression of the frustration that comes with it. we had a great time creating #sistasista" - NAKAAYA Link >

CHIEF MAKER - MUNGU HANA MPAMBE ( New Audio )


Singer Name:- Chief Maker Song Name:- Mungu Hana Mpambe Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Studio:- Chief Records Hi, I hope you're doing well. This is brand new song from JohVenture Project by Artist -Chief Maker track _ Mungu Hana Mpambe We thanks for promoting us everyday.. God bless you... kwa Mawasiliano Zaidi ;- +255 766 346 778

RAM G FT TOP C - NAKUTUMA KWAKE ( New Audio )


Ram G ajiunga @mkitodotcom na kuachia wimbo na Top C kwa jina Nakutuma Kwake Bofya HAPA https://mkito.com/song/nakutuma-kwake-ft-top-c/16284 Na kwa Mahojiano/Mawasilano zaidi check na Ram G kwa nambari +255 755 727 505 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn Kupakua nyimbo Zingine za RAM G bofya HAPA https://mkito.com/song/mage/16281 https://mkito.com/song/mikono-juu/16282 https://mkito.com/song/mwana-mnyonge-ft-kneez-siza/16283 https://mkito.com/song/sifanani-nao-ft-young-omega-malfredy/16285 https://mkito.com/song/mkuki-moyoni-ft-md/16286

ROBBY STAR FT KING MAKOPA - NIWE NAWE ( New Audio )


kupakua wimbo wa RobbyStar kwa jina "Niwe Nawe"akiwa amemshirikisha "King Makopa" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Robby Star kwa nambari +255 688 246 256 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

Wednesday, September 23, 2015

COMING SOON: CHRISBEE KUJA NAVIDEO MPYA HIVI KARIBUNI.

KATIKA PITA PITA ZANGU INSTAGRAM NIKAKUTANA NA DALILI ZA UJIO WA VIDEO MPYA YA CHRISBEE. NIKAONA NIKUSOGEZEE NAWEWE KIPANDE KIDOGO CHA VIDEO HIO TOKA UKURASA WA CHRISBEE WA INSTAGRAM.

COMING SOON: UJIO WA ONLINE RADIO TOKA KWA RENATUS BIZZO KILUVYA WA RFA.

COMING SOON: SKILLS KUJA NAMZIGO MPYA OCTOBER 14. 2005


MWANAMUZIKI SKILLS MKALI WA MIONDOKO YA HIPHOP, ANATARAJIA KUTUA NAMZIGO WAKE MPYA OCTOBER 14 2015 MTAANI. MWANAMUZIKI HUYO AMBAE INSTAGRAM ANATUMIA JINA LA @SKILLS32 AMEZUNGUMZA MOJA KWAMOJA NA BLOG YETU KUA WIMBO HUO UMEFANYIKA KWA C9 DAR ES SALAAM, HUKU NDANI IKIWEMO SAUTI YA FB7 NA SNAIDA KWENYE INTRO NA AUTRO, KASEMA WEMBO WAKE UNATARAJI KWENDA KWA JINA LA RUDI NYUMBANI WA KIHISIA ZAI. ENDELEA KUUNGANA NAMI ILI UWE WAKWANZA KUUSIKILIZA WIMBO HUU PUNDE UTAKAPOTOKA HAPA HAPA.

JOO HARAKATI FT WALTER CHILAMBO - SEPTEMBER 14 ( New Audio )


Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii nimeelezea Isikilize." Jooh Harakati - 2015

NAKAAYA FT DUNGA - UTU UZIMA DAWA ( New Audio )


"Its a song expressing my freedom from the chains that held me back as a woman and an individual. Its a song reminding me of my mothers advice.It does not matter how many times or how hard you fall. Its how you get yourself back up. I am now a proud single mom, happy and thankful to have and to raise my soldier alone. In truth utu uzima dawa. You live and you learn."- Nakaaya Link >

Monday, September 21, 2015

NAKAAYA FT CHIDI BENZI - I AM AN AFRICA ( New Audio )


The song 'I am an African' Was inspired by the genocide in both Rwanda and Kenya. I wrote it because i felt like alot of Africans have lost sight of who they really are and instead focused on very irrelevant issues such as tribalism or political affiliations. At the end of the day, we are all Africans and it should not matter what tribe, religion or country you come from. We are one! We should be proud. Nakaaya - 2015

Friday, September 18, 2015

DOCUMENTARY: KUTANA NA NGUZO YA #01 ( Break Dance ) YA HIPHOP KATI YA NGUZO #09 ZASASA TOKA KWA WITNESZ KIBONGE MWEPEC


HILI NIDARASA HURU KWA WANA HIPHOP WOTE DUNIAN, KUHUSIANA NA NGUZO ZA HIPHOP. DARASA HILI LIMEANDALIWA KWAMFUMO WA SAUTI NA MWANAMUZIKI WA HIPHOP WAKIKE TANZANIA WITNES MWAIJAGA AKIJULIKANA KAMA WITNESZ KIBOMGE MWEPEC. LEO AMEANZA KWA KUELEZEA NGUZO YAKWANZA KATI YA TISA AMBAYO NI BREAK DANCE. IKUMBUKWE HAPO MWANZO ZILIKUA ZIKIJULIKANA NGUZO 4 BADAE IKAONGEZEKA 1 NAKUA NGUZO 5 NASASA TUNAONGELEA NGUZO 9. UNATAKA JUA KIUNDANI ZAIDI LIKO VIPI HILI? SIKILIZA KWAKUDOWLOAD STORI NZIMA KWENYE GADGET YA MKITO.COM HAPO CHINI.

Monday, September 14, 2015