KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, May 2, 2015

COMING SOON: UJIO MPYA WA JUNAY TAR 07/05.

MWANAMZIKI HAPPY JUNAISATY MAARUFU KAMA JUNAY BAADA YAUKIMYA MREFU SASA ANATARAJI KUINGIA MTAANI NA WIMBO WAKE UTAKAOKWENDA KWAJINA LA CHANGANYA CHANGANYA TOKA STUDIO ZA MALAGO RECORDS. MWANAMUZIKI HUYO ANATARAJIWA KUJA FANYA MAKUBWA ZAIDI SIKU ZAUSONI KUTOKANA NAUWEZO WAKE WAKUA NASAUTI NZURI. TAREHE 7 MAY ANAACHIA MZIGO WAKE RASMI. KUA KARIBU NA MEDIA MBALIMBALI NCHINI LAKINI PIA UTAKUA WAKWANZA KUUPATA HAPA MTUANGU.

0 comments:

Post a Comment