MAN SALU - WEMA ( New Video )
TIZAMA VIDEO YA MWANAMUZIKI MCHANGA "MAN SALU" YENYE MUONEKANO WA KIWANGO CHA JUU, TOKA ZANZIBAR AKIMWIMBIA WEMA. VIDEO HII IMEFANYWA NA ALAMA XP PRODUCTION ILIOKO MAFINGA-IRINGA CHINI YA DIRECTOR TENYA BROWN. LOCATION ZOTE ZIMEFANYIKA ZANZIBAR TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment