LIL STIGGAR - MIXTAPE ( RISE AND SHINE )
MSANII MKALI WAMIONDOKO YA HIPHOP KWA AKINA DADA TOKA MBEYA - TANZANIA SASA KATUA NA MIX TAPE YAKE MTAAN IITWAYO RISE AND SHINE (VIDEO). MWANADADA HUYU AMBAYE KWASASA ANAJULIKANA KWA JINA LA LIL STIGGAR AKA QUEEN OF HIPHOP AMEJIZOLEA SAANA UMAARUFU HIVI KARIBUNI BAADA YA NYIMBO YAKE INAYOKWENDA KWA JINA LA "YES I CAN" KUANZA CHEZWA MPAKA MOJA YA VITUO VIKUBWA VYA TV DUNIANI MTV BASE. KWASASA PIA ANATAMBA NA KIBAOCHAKE KIPYA MTAANI KIJULIKANACHO NKAMA "NATAFUTA KIKI",ALICHO MSHIRIKISHA QUEEN DARLIN & NASH DESIGNER, NA KINGINE KIITWACO "LIKE".
KUIPATA MIX TAPE HIO WASILIANA NA NAMBA HII POPOTE ULIPO 0654079930 KUIPATA KWA TSH 5000/- TU.
0 comments:
Post a Comment