Msanii Khalid Chokoraa ambaye pia ni bondia wa kulipwa
anakuletea track yake mpya Maneno amabapo amemshirikisha mzee wa
Kigodoro a.k.a Msaga Sumu. Hii ni colabo ambayo siyo ya kawaida lakini
matokeo yake yamekuwa ni mazuri kupindukia. Download wimbo mpya sasa.
Saturday, October 11, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment