KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, July 30, 2014

TIZAMA PICHA SITA LOCATION ZA MKWAWA - MISUNDERSTOOD, KUINGIA MTAANI PUNDE ( PICHA ZA LOCATION )

VIDEO MPYA YA MSANII AITWAE MKWAWA TOKA IRINGA TOWN, INAENDELEA SHUTIWA KAMA KAWAIDA, BADH YA PICHA ZA LOCATION TOKA GANGILONGA NA KLERUU IRINGA, NI HIZI HAPA CHINI. NYIMBO HII INAITWA MISUNDERSTOOD, INASHUTIWA NA KAMPUNI YA PERFECTION ILIOKO IRINGA CHINI YA VIJANA WAWILI BRAYO UNIQUE, ALIEFANYA CHORUS YA NYIMBO HII PIA, NA JIMMY. HUU NIUTANGULIZI TUU, MAKUBWA TOKA KWA MKWAWA YANAKUJA. KAA MKAO WAKUPOKEA VIDEO NZURI.





Sunday, July 27, 2014

ZAIID FT ROSSIE EM - KWANINI ( NEW AUDIO )


ARTIST: ZAIID TRACK: KWANINI PROD: MUJWAHUKI NAPENDA CHUKUA NAFASI HII WADAU WOTE WA MUSIC TOKA NYANDA ZA JUU KUSINI KUJIFUNZA KUPITIA TRACK HII. PRODUCERS, MNAWEZA JIFUNZA KITU KUPITIA BEAT HII, MIXING NA KILA KITU. ARTIST, MNAWEZA JIFUNZA SAANA KUPITIA UANDISHI WA MASHAIRI WA TRACK HII KUANZIA CHORUS MPAKA VERSE. PRESENTERS NA BLOGGERS MNAWEZA JIFUNZA TAMBUA MZIKI MZURI UNAOTAKIWA WAFIKIA WATU MTAANI, KUPITIA TRACK HII. PIA RAIA MNAWEZA JIFUNZA UPI MZIKI MZURI UNAFAA KUSKILIZWA NA MSANII KUPEWA SHOWZ NA UPI SI SAHIHI HATA KAMA UNAPEWA PROMO KWA MEDIA. ZAIID, ROSSIE EM, NA MJWAHUKI KAMA PRODUCER WAMEWEZA TUFUNDISHA KITU KUPITIA INSPIRATION SONG KALI KAMA HII. KUUPATA WIMBO HUU NA KUUSIKILIZA BOFYA HAPA.

Monday, July 21, 2014

OBBY FT SILLEY - MAFIONSO ( NEW AUDIO )

ARTIST: OBBY FT SILLEY TRACK: MAFIYONSO PROD: SILLEY - SAMPAMBA MUSIC HUU NDIO UJIO MPYA WA MIXTAPE MPYA YA OBBY. INATARAJIWA KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI IKIWA NA JUMLA YA MIKITO HATAAARI NANE (08). HII NDO TRACK YAKWANZA ITAKAYO ITAMBULISHA MIXTAPE HIO. ANAOMBA SUPPORT YAKO MDAU. KAA MKAO WA MENGI MAKALI BAADA YA KUITAMBULISHA MIXTAPE HII.

Sunday, July 20, 2014

Saturday, July 12, 2014

Thursday, July 10, 2014

Tuesday, July 8, 2014

DREEZYKILLZ FT MKWAWA & MAC MC - SIBADILIKI ( AUDIO )


SONG: SIBADILIKI ARTIST: DREEZKILLZ FT MKWAWA & MAC MC PRODUCTION: SAMPAMBA MUSIC - SILEEY ( IRINGA ) MZIGO MPYA WA KIZAZI KIPYA KABISAA AMBAO IMETABILIWA FANYA VIZURI MTAANI KWASASA. IRINGA YASASA NA KUSINI KWAUJUMLA KATIKA MUSIC SIO ILE YAWAKATI ULEEEEEE>>>> KUTHIBITISHA HILI DOWNLOAD TRACK HII HAPA CHINI UTATHIBITISHA KAMA YALIYOMO YAMO? SUPPORT YAKO MDAU NDO KILA KITU. http://hu.lk/brsx8vxgllog OR

Thursday, July 3, 2014

Wednesday, July 2, 2014

Tuesday, July 1, 2014

DEE GOZBA FT VEDASTO - KAMA WEWE ( DEMO VIDEO )


HUU NDIO UJIO MPYA WA DEE GOSBA. SOON ANATUA MTAANI NAKICHUPA MPYA TOKA ALAMA XP PRODUCTION CHINI YA DR TENYA BROWN. VIDEO HIO NIYAWIMBO UITWAO KAMA WEWE AMBAO KAMSHIRIKISHA VEDASTOR LOCATION IKIWA MAFINGA IRINGA. ZAIDI BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA DEMO YA SEHEMU YA VIDEO HIO. ONE ONE ONE LOVE GUYZ.