KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, June 28, 2014

FURSA KWA WANAMUZIKI WOTE NCHINI - DILI TOKWA OTCHUNE RECORDS HILI HAPA. ( NEWZ )

DILI TOKWA OTCHUNE RECORDS HILI HAPA. mambo vipi walengwa? nilitangaza ya kwamba nmeanzisha biashara ya studio wengi wao wanao nipgia simu wanaomba lebo na wengine wanaomba tuwasikilize, so tumeamua kuandaa program ambayo tutakua tunawasilkiliza watu eidha nyimbo zao ama kwa wale watakao taka kurekodi watakua kwenye shindano fupi la kila wiki ila watapaswa kulipia muda wa kusikilizwa 20,000 ambapo programu hii itaanza tarehe 2/7/2014 na usaili huu utafanyika kijitonyama dar na mshindi atapata kurekodi Bure kwenye studio za oTchunes wakisimamiwa na witnes na ochu sheggy, zidaddy mwamba pamoja na Abra tha Producer watakaoshinda kwenye usaili huu kila mwezi watarekodi wimbo mmoja na mshiriki anaweza kushiriki as many times as they can, endapo tu akiwa kati ya watu ambao hawajafikia hatua ya kurekodi wasiliana nasi kwa simu namba 07532 00 009/0717757582 kwa ajiri ya booking ama maelekezo zaidi!

MICHANO LUKUKI - NO FEAR ( NEW AUDIO )

Habari,poleni na kazi ya kujenga taifa.Tunaitambulisha nyimbo mpya ya 'Mtoza mc' toka kundi la 'michano lukuki' aliyo mshirikisha 'pno conscious'.Nyimbo inaitwa 'no fear'imefanyika chini ya studio za E-Lab rec.chini ya producer Tonny/Efficiency man zilizopo mbezi.Mawasiliano yetu ni 0764191674.Tunaomba sapoti yenu na kazi njema.

Thursday, June 26, 2014

HII NDIO KITAA WEAR TOKA KWA MIKE TEE. ( UP DATE INFO)

BAADA YA KITAA TV NA KITAA RADIO TOKA KWA MIKE TEE, SASA KAINGIA MTAANI NA KITAA WEAR KUWAVISHA WATU KIAFRICA ZAIDI KWAMTONYO MDOGO POPOTE ULIPO NDANI YABONGO, JINSI YAKUPATA PAMBA HIZI Kama umependa KITAA wear Niibox ili nijue vitu vifuatavyo 1. Namba ya Simu 2. Wapi Ulipo, kama upo Dar utaletewa ulipo ukiishalipia mkoani tutatuma kwa njia ambayo kwako ni rahisi kukufikia 3. Aina ya T-Shirt , kwenye advert nimeweka number chagua number ya tshirt uliyoipenda 4. Size 5.Price 20,000/= Payments through Mpesa 0754310202 NB: Ukinunua kuanzia T-Shirt 5 bei ni 18,000/= T-Shs Pia gharama za kutuma mzigo mkoani ni za mteja Dar es salaam napatikana jengo la science na technology (Kijitonyama) Aksanteni sana kitaajoint@gmail.com KITAA WEAR NDO MPANGO MZIMA HASA KWA VIJANA WANAOKWENDA NA WAKATI NA FASHION.

Sunday, June 15, 2014

DENYO RASMI FT NAJO MKALI - HESHIMU KAZI ( VIDEO )

NIMOJA YA NYIMBO CHACHE SAANA TANZANIA NA HASA TOKA IRINGA INAYO ELIMISHA NA FUNZA JAMII KUHUSIANA NA UMUHIMU WA KUHESHIMU KAZI.VIDEO IMETENGENEZWA NA NIABROS PAMOJA NA RAINBOW IMAGE MASTERS IRINGA, WAKATI AUDIO IKIWA IMEFANYIKA TOP MAGIC SOUND IPOGORO IRINGA. BOFYA HAPA KUTIZAMA KIDEO HICHO.

Saturday, June 14, 2014

WITNESZ & OCHU SHEGY - THINK ABOT IT ( VIDEO)

KUTANA NAWAPENZI WANAOFANYA MUZIKI MZURI KWAPAMOJA KWAKUTIZAMA VIDEO YAO IITWAYO THINK ABOUT IT YENYE DK 04:36 NI WITNESZ (MFALME WAMICHANO TZ KWA AKINA DADA) NA OCHU SHEGGY ( MKALI WA VOCAL ADIM ) WAKIFANYA YAO KATIKA VIDEO ILOFANYWA NA BADI FILMS TOKA UGANDA CHINI YA DIRECTOR L. BASHIRI. AUDIO/BEATS ILIFANYIKA MWAKA 2007 NA PRODUCER LUCCI, BUT MIXING NA MASTERING ZIMEKUJA FANYIKA MWAKA 2013 CHINI YA PRODUCER ZIDADY MWAMBA. BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA WAPENZI HAWA WAKIONYESHA UWEZO WAO KATIKA VIDEO BORA NA NZURI, CHINI YA MZIKI MZURI.

Thursday, June 12, 2014

LINE SIX FT B.U.X - MWAMBIE ( NEW AUDIO )

MKONO HUOOOO LINE SIX KAMSHIRIKISHA BARAKA AKA B.U.X, KWA CHORUS. MZIGO HUU UMEFANYIKA IRINGA NDANI YA TABASAM MUSIC, CHINI YA PRODUCER Q - BASS. MDUNDO MKALI, FLOW KALI, CHORUS KALI, YANI BALAAA TUU .................... ANAOMBA SUPPORT YAKO KAMA MDAU NA MPENDA MZIKI MZURI. MAONI MUHIMU, TUPIA HAPA KAMA UNACHOCHOTE 0653363005

DJ NAS - SALAM KWA JAKAYA ( NEW AUDIO )

HUU NDIO WIMBO MPYA WA DJ NAS WENYE SALAM ZA JAKAYA MRISHO KIKWETE RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO - TANZANIA. WIMBO HUU UMEFANYWA NA EMMO DA PRO' CHINI YA MPINGO PRODUCTION IRINGA, PAMOJA NA AB RECORDS. KUJUA ZAIDI DJ NAS KAZUNGUMZIA NINI KUHUSU MH DR JAKAYA BOFYA HAPA CHINI.

Wednesday, June 11, 2014

FURSA MPYA KWA WASANII KUTOKA (MIKE T ) KITAA RADIO & KITAA TV ( UP DATE INFO )

Hi All, TATIZO = FURSA > Wasanii wengi kwa kipindi kirefu tumekuwa tunalalamika kuwa tunabaniwa kwenye MEDIA bila kuelewa kwa kifupi tu ukweli wa mambo. Kwa Uchunguzi nilioufanya kwa kipindi cha miaka mitatu hivi nimegundua haya, Watayarishaji au watangazaji wa vipindi kwa siku wanapokea zaidi ya nyimbo 30 kutoka kwenye studio mbalimbali hapa nchini, kwao inakuwa ni vigumu kucheza nyimbo zote kutokana either muda kuwa mdogo wa vipindi vyao au kuwa na request nyingi za nyimbo ambazo wamekuwa wanazicheza sana. > Swali likaja kwangu nyimbo au video ambazo hazichezwi na ni nzuri tufanye nazo nini ili na hawa wasanii wapate airtime? > SULUHISHO LA TATIZO Baada ya kuliona tatizo nikapata idea ya kuzunguka kwanza Manispaa zote ILALA, KINONDONI na TEMEKE kuangalia usajili wa vituo vya bodaboda na bajaj zilizosajiriwa kwenye vituo ambazo pia wameweka radio ambazo zinatumia flash na memory cards, Huku nikapata idea ya kuanzisha KITAA RADIO ambayo itahusika na kuwasambazia watu hapa muziki ule ambao ulishindwa kupenya radioni muziki wa aina yeyote wa Kitanzania ambao mzuri kusikika na watu wakaupenda. Pili, kwenye upande upande wa video napo nikajiuliza ni mabus mangapi yaendayo mikoani ambayo ndani hutoa burudani ya movies , music video nk nikakuta ni zaidi ya mabus 2000 ,ambapo kwa siku kila bus linasafirisha si chini ya abiria 50 Huku nako nikapata idea ya kuanzisha KITAA Television ambayo itakuwa inatoa burudani ya music videos zile tu zilizokosa kupewa Airtime kwa namna moja au nyingine Kwa kusema hayo machache napenda kusema KITAA RADIO FM na KITAA TELEVISION imezinduliwa rasmi now chini ya kampuni ya SHOWBIZ DEFINED MEDIA Co LTD NB ; Huduma hii tutaitoa lakini kutakuwa na uchangiaji wa huduma kwa wale watakaokuwa tayari Aksanteni Mike Mwakatundu Marketing Manager Kitaa Promotions Media Co. Ltd kitaajoint@gmail.com https://twitter.com/KitaaRadioFM https://www.facebook.com/kitaaradio https://www.facebook.com/KitaaTv

Tuesday, June 10, 2014

SNIPER FT SUMA MNAZARETI - NIKUACHE VIPI ( NEW AUDIO )

WAKUU NAOMBENI SUPPORT ZENU KWA KUSUKUMA TRACK HII MPYA. MIMI NI MSANII CHIPUKIZI ( SNIPER) KWAJINA. NIMEFANYA TRACK TRACK HII KATIKA STUDIO ZA TABASAM RECORDS IRINGA. NIMEMSHIRIKISHA SUMA MNAZARETI KA CHORUS. AHSANTENI-NA KWA USHAURI NA MAONI NAMBA ZANGU NI-0717 957 881

NEMY & DJ NAS - WAKUJA ARUDI BUSH ( NEW VIDEO)2

new music video yake Nemy & Dj nas inakwenda kwa jina la [WAKUJA WARUDI BUSH] audio imefanyika katika studio za AB RECORDS chini ya producer KAY B na video pia imefanywa na NEXT EFFECT directOr PUNJE production zote zimefanyika ndani ya ardhi ya iringa so wadau tujitahidi kubust mziki wetu

Sunday, June 1, 2014

CHRIS BEE FT SACHA & SYLVIA - WALA ( NEW AUDIO )

Habari. Mdau/Mwanatasnia/Bloggers kwa kutambua mchango wenu wa kuuendeleza muziki wa Bongo, naomba sapoti ya kuucheza, kuusambaza na kuusikiliza wimbo yangu huu mpya. Jina langu kamili ni Greyson Salufu Chatanda, mbali na kufanya muziki mimi ni mtangazaji na Dj kutoka Bomba FM Mbeya. Natumaini ombi langu litapewa kipaumbele. Artist:- Chris Bee ft G Sacha & Sylvia. Song:- Wala. Studio:- Uprise Music. Producer:- Fraga De Pro. Phone N0*:- 0718000262

EBONY FM - BIRTH DAY SONG ( NEW AUDIO )

WIMBO WA BIRTH DAY YA EBONY FM KUTIMIZA MIAKA 8 TANGU TAREHE 1/6/2006 MPAKA LEO TARE 1/6/2014 TANGU KUANZA TANGAZA. UMEFANYIKA CHINI YA MPINGO PRODUCTION NA EMMO DA PRO ( EMMANUEL ATMIN), WIMBO HUU UMEIMBWA NA BAADH YA PRESENTERS WA RADIO EBONY FM IRINGA. BAADH YA WALOHUSIKA HUMO NDANI NI AGNES ANDERSON, YUSUPHU MKULE, NEEMA MSAFIRI, SOGY DOGY, EDDO BASHIRI, PANGANI FESTUS PANGANI, EMMO DA PRO', DJ NAS, NEEMA LUKINDO, AISHA SANDIGA, ABEL MPONELA, NA KABULA HAMISA. SWALI LAKIZUSHI NI, nan kawafunika wote? KUANZIA TAR 2/6/2014 WANATEGEMEA ANZA SOMEKA DAR ES SALAAM RASMI. BIG UP KWA EBONY FM.