![]() |
| Huu ndio Muonekano wa Nje wa club La - Parte Ambayo Ipo Chini ya Ebony Entertainment, Inayomilikiwa Na Mr Mfugale. |
![]() |
| Hapa Ndio Lango la kuingilia ndani ya Club Hio. Twende Ndani Ukajionee mwenyewe. |
![]() |
| Hii ndio sehemu ya kwanza na Counter ya kwanza unapoingia tu kati ya Tatu zilizomo ndani Humo. Aibu Manzeeeee. |
![]() |
| Baada ya hapo nlipata time ya kutembezwa kumbi nyingine ya ghorofan Ambayo ni Red Carpet. |
![]() |
| Manzee, Sikuamini machoyangu nilio yaona Huko. Kweli Ilikua Red Carpet na Kuna Kaunter nyingine pia, projector na TV Kubwa Flat screen. |
















0 comments:
Post a Comment