TRACK Inaitwa LOVE, na Imesimamiwa na NELLY CALOCY MSAMILLA
Katika Music Industries natumia Jina La NELLY BE Pia Mimi ni Mwandaaji
na Mtangazaji wa Vipindi Vya Burudani na Music Director/Music Manager
NURU FM Iringa Tanzania , Ni Wimbo Unao Husu Maswala ya Wapendanao. Ni
Wimbo Ambao Unatoka Katika Mixtape na Albamu ya B.M.B..Naomba Sapoti
yenu , Huu Ni Mwanzo Tu nimeanza na Upcoming Artst Track ya Pili
Itahusisha Mastaa wakubwa.
Humo Ndani yupo NELLY BE FT MAC,CLOUDY 9,MKWAWA SILE, _LOVE Ni Zawadi ya VALENTINE
|
0 comments:
Post a Comment