BAADHI YA MAVAZI ANAYO PENDELEA TUPIA HASA ANAPOKUA JUKWAANI NI KAMA YENYEMTINDO HUU. |
Saturday, December 14, 2013
EMMO DA PRO' FT MED C - NIPE KIDOGO ( Mwanamuziki Bora katika miondoko ya POP na Mbunifu Zaidi Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania 2013)
Posted by NAOMIKADUMA On 1:47:00 PM
EMMO DA PRO' NDIE MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA 2013 KATIKA MIONDOKO YA POP, NA PIA NDIE MWANAMUZIKI MCHANGA PEKEE TOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI ALIEWEZA ONEKANA ANAWEZA PAMBANA NA SOKO LAKIMATAIFA KWA UBUNIFU ZAIDI KATIKA KAZI ZAKE,NA KATIKA KUUTANGAZA MUSIC WA KIAFRIKA. HII IMEWEZA DHIHIRIKA KWA BAADHI YA NYIMBO ALIZOWEZA FANYA MWAKA HUU. NA PIA KUTO FANANA NA MWANAMUZIKI YEYOTE KATIKA STAIL ANAYO FANYA MPAKA MIDUNDO ANAYOTEMBEA NAYO AMBAYO PIA AMEKUA AKIIFANYA MWENYEWE. MFANO UNAWEZA SIKILIZA WIMBO WAKE MPYA HAPA CHINI UITWAO NIPE KIDOGO, NA UKAFANANISHA NA NYIMBO ZOTEE UZIJUAZO WEWE TOKA MIKOA YA KUSINI, UNAWEZA GUNDUA KITU. KIKUBWA ANAHITAJI SUPPORT YAKO MDAU NA USHAURI PIA ILI KUTIMIZA NDOTOZAKE ZA MUSIC NA KUKUBURUDISHA ZAIDI.
Sunday, December 8, 2013
Mike Tee ft Juma Nature - Uliniona sina maana.
Posted by NAOMIKADUMA On 1:56:00 PM
MKALI WA WANYALU TANZANIA NZIMA MIKE TEE KATUA NA MZIGO MPYAA KABISAA AKIWA KASIMAMA NA MKALI JUMA NATURE. FANYA KAMA UNAUDOWNLOAD NA KUUSIKILIZA HAPA. MAONI YAKO YATAKUA MUHIMU SAANA KWETU PIA. PAMOJA TWAWEZA.
Friday, December 6, 2013
NEST FLASHA WEST - MaLove
Posted by NAOMIKADUMA On 6:13:00 PM
NEST FLASH WEST artist toka Mkoani Mbeya anaekuja na yake yamoto zaidi, kwanye Muziki wa miondoko ya Rnb chini ya studio Ya Mashada Inc Toka Mbeya. Anahitaji support yako Mdau. Zaidi Tembelea Hapa chini kupata track yake.
KEVOO HARD - Rip Paul Walker
Posted by NAOMIKADUMA On 6:03:00 PM
HII NI KUTOKA KWA MSANII MCHANGA TOKA IRINGA TOWN AITWAE KEVOO HARD. SOMA NA SIKILIZA HAPA ALICHO KIZUNGUMZIA JUU YA KIFO CHA PAUL WALKER.
Kama mdau mkubwa wa movie za Fast and the Furious na kama kioo cha jamii msiba wa Paul Walker umenigusa sana hadi kuchukua mda wangu kutoa haya maneno kwa wadau WA MOVIE na wasanii wenzangu tanzania na dunia nzima. clink link kusikiliza
Subscribe to:
Posts (Atom)