Friday, January 1, 2016
NELLY JAKANO FT REAL JOFU - PINYOKETHORE ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:48:00 PM
FREGE - I WISH I KNEW ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:35:00 PM
Artist_- FREGE
Track- I WISH I KNEW
Studio- BANTU MUSIC
Contacts- 0716 404 111
http://mdundo.com/search?q=frege+i+wish
Saturday, December 19, 2015
WITNESZ KIBONGE MWEPEC - BUKU JERO ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:47:00 AM
NIMEKUSOGEZEA VIDEO MPYA KABISA YA MWANAMUZIKI WITNESZ KIBONGE MWEPEC DAKIKA CHACHE TUU BAADA YAKUACHIWA MTANDAONI. KUPITIA UKURASA WAKE MPYA KABISA WA YOUTUBE CHANEL SASA UNAWEZA ITIZAMA VIDEO HII KWA KUFOLLOW LINK HII HAPA https://youtu.be/oo1GBCvpEfM NA KUSUBSCRIBE AMA KUBOFYA KITUFE CHA PLAY KUPITIA GADGET HAPA CHINI
BLACK RHINO FT HDN & CHIBWA MAN - TIME YA KUMEKI DOO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:12:00 AM
PRINCE AMOS - RASTA NJOO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 1:07:00 AM
Habari yako ndugu yangu. huu hapa ni wimbo mpya kabisa wa Gospel Reggae, toka kwa mwanamuziki Prince Amos track inakwenda kwa jina la "Rasta Njoo" track nimerekodia Nairobi Kenya, katika studio za Dimax. Anaomba sapoti yako mdau.
Interview ya Chella at ebony fm iringa with edwin bashir tiger mnyama
Posted by NAOMIKADUMA On 12:50:00 AM
Habari!Kwa wale mashabiki Wa michanolukuki waliokosa interview ya Chella aliyofanyiwa na Edwin bashir(Tiger mnyama)wanaweza kuisikiliza kupitia link hii ili kujua zaidi mipango ya kundi hilo inayofuata.Kundi linaloundwa na mtoza mc na chella toka kibena Njombe Tanzania.
MR ET - TANZANIA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:43:00 AM
kupakua wimbo wa Mr ET aka Evarest Thomas na Wimbo kwa jina Tanzania ikiwa ni HipHop Category kwa mahojiano/mawasiliano check nae kwa nambari +255 756 270 915 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
WARIOBA - GIVE ME ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:36:00 AM
PROMISE FT CHEGE & MUCKY - NIPE PENZI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:26:00 AM
Huu ni wimbo mpya alio uwachia rasmi leo kutoka kwa msanii PROMISE (@PromiceAfrica) akiwashirikisha CHEGE (@ChegeChigunda) na MUCKY, kwenye huu wimbo unaoitwa NIPE PENZI umetayarishwa na Producer MR T TOUCH ikiwa ni Love and Dance song. kwa mawasiliano / Interview mcheki Promise kwa Email: promiseafrica007@gmail.com
Download song Link - http://bit.ly/1SWCoWW
Embedded Song Link - ( )
NAVIO FT BURNA BOY - GBESILE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:18:00 AM
When you mix one of the fastest growing artists on the continent with the biggest East African Rap brand, you get "Gbesile".
With Navio and Burna Boy joining forces on one song, it's easy to see how this is being predicted to be one of the biggest December songs of 2015 now on Mkito!
The song is a party oriented track, produced by hit maker "Aethan" and engineered by Samurae. However with the sombre artistry that Navio and Burna Boy are known for, the wit, lyrical magic and witty lines become apparent.
BATOO - BAMBIA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:11:00 AM
kupakua #Bambia ya @man_batoo #DancehallTune #RiddimLife #EntertainmentBoss Powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com #SupportYourOwn @djhaazu @j4cinyo @vmgafrica #SupportYourOwn @shuttupdeejayz @djp_tz @djnoel255
--
Sunday, December 13, 2015
NIMEKUSOGEZEA PICHA ZAIDI YA 28 ZA SHOW YA MTIKISIKO 12/12/2015 IRINGA
Posted by NAOMIKADUMA On 1:43:00 AM
| MAPEMA MCHANA WA TARE 12 WAKATI MAANDALIZI YA SHOW YAKIENDELEA NILIFANIKIWA FIKA NAKUSHUHUDIA KILICHOKUA KIKIENDELEA. |
| MOJA YA WANAMUZIKI WA IRINGA VIDY MWENYE SURUALI NYEKUNDU |
| ROMA AKIKIWASHA KWASTAGE |
| JUMA NARE NA RICH ONE WAKIKIWASHA JUKWAANI |
| DJ NAS AKIHOST SHOW TOKA EBONY FM |
| EDWIN BASHIRI MTANGAZAJI TOKA EBONY FM NA BALOZI WA TIGO NYANDA ZA JUU KUSINI ( Wadhamini wa Show |
| BAADHI YA RAIA WAKIBURUDIKA NA BURUDANI LIVE TOKA JUKWAANI |
| KUTOKA NYUMA YA JUKWAA MAPEMA WAKATI WA MAANDALIZI YA JUKWAA HILO |
| MWANAMUZIKI SKILLS TOKA KUSHOTO, STINO KATI ( Mshindi Waleo ) na FRESH ANDY TOKA KULIA |
| HII ILIKUA TEAM YA MWANAMUZIKI FRESH ANDY TOKA MAFINGA |
| CHRISS BEE OFFICIAL MTANGAZAJI WA BOMBA FM PIA TOKA MBEYA NA MWANAMUZIKI HAKUKOSEKANA |
| CHRISS BEE AKIWA NA MWANAMUZIKI PETRONIA WOTE WAKITOKEA MBEYA MPAKA IRINGA |
| HAPA NI ROMA BACK STAGE AKIWA KATIKA MAANDALIZI YAKUKWEA JUKWAANI |
| FRESH ANDY AKIWA NA DJ NAS BACK STAGE |
| FRESH ANDY AKIWA NA BALOZI WA TIGO EDDWIN BASHIRI |
| NILIPATA NAFASI YA KUTOKELEZEA KATIKA PICHA MOJA NA BALOZI WA TIGO EDDO NA MWANAMUZIKI ANGE TAINER TOKA IRINGA |
| SIKUWEZA KUMKOSA IRINGA BOY AKA DJ NAS BACK STAGE AKIWA NA ANGE TAINER. |
| FRESH ANDY PIA ALIPATA TIME YA KUTOKELEZEA NA MWANAMUZIKI NGULI WA HIPHOP SUA SIDE.. |
TRBADOUR FT IBRAH - UZURI WA SURA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 12:45:00 AM
Artist-Trubadour George Ft Ibrah
Track- UZURI WA SURA
Studio- Bantu Music Production
Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki, wimbo huu nimeshirikiana na Ibrah, wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao. video ya wimbo huu itakuwa hewani tarehe 18/12/ 2015. video hii imetayarishwa na mecky kaloka kutoka ngome videos.
Barnaba x Mwasiti x The Voice - NJITI
Posted by NAOMIKADUMA On 12:39:00 AM
Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo maalum wa NJITI (premature babies) uliowezeshwa na Doris Mollel Foundation.
Njiti anaweza kuishi akipewa mazingira bora. Sambaza ujumbe huu kwa wengi tuwape faraja wazazi pamoja na Njiti wengi pia.
"You can now download and listen special song done by preterm partner artists support the survival of premature new born in Tanzania, spread the word." - Doris
Subscribe to:
Posts (Atom)


























