NIMEKUSOGEZEA WIMBO MPYA WA MWANAMUZIKI B2K TOKA MAKAMBAKO NJOMBE KWA MARA NYINGINE TENA. WIMBO UMEFANYIKA KATIKA STUDIO ZA TOP MAGIC SOUND CHINI YA PRODUCER ECKO IPOGORO IRINGA.
Nimeipenda kazi yako ya Dimaya B2K tangu naickia kwa mara ya kwanza nikiwa likizo kutoka kwa Eddo Naomba peleka ata studio na vituo vya redio vikubwa ili tuweze kuupeperusha mziki wa nyanda za juu kusini
Nimeipenda kazi yako ya Dimaya B2K tangu naickia kwa mara ya kwanza nikiwa likizo kutoka kwa Eddo
ReplyDeleteNaomba peleka ata studio na vituo vya redio vikubwa ili tuweze kuupeperusha mziki wa nyanda za juu kusini