Thursday, October 29, 2015

DARASSA FT TRIPLE D - HELA ( New Audio )


Siku hizi kila kitu hela! Kuna namna Darassa anaelezea kwenye huu wimbo wake mpya Link >

STABLE D FT ANORLD-P - TUTOKE ( New Audio )


Kupakua Wimbo wa Stable-D ft Anorld-P kwa jina "Tutoke" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 754 565 948 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn --

TOWILO - MAMBO MENGI ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Towilo kwa jina "Mambo Mengi" toka GrandMaster Records na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na @Towilo_mlay kwa nambari +255 782 861 424 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

GAMI DEE - WAKIKWITA ( New Audio )


artist: gami dee song: wakikuita studio: super record prod super & seth

TRUBADOUR FT DOMOKAYA - MIKWARA ( New Audio )


ARTIST- TRUBADOUR FT DOMOKAYA WIMBO- MIKWARA PRODUCED BY NO FUTURE BANTU MUSIC LINK YA WIMBO KUTOKA

ZOE - SIKILIZA ( New Gospel )


Kuanzia jina mpaka picha, vyote vinakwambia kitu kimoja tuu, sikiliza. Hii sio ya kukosa. Anaitwa Zoe Phyllis na ni msanii wa nyimbo za Injili, nyimbo inaitwa "Sikiza". Pakua hapa wimbo wimbo wake Mpya.

Wednesday, October 21, 2015

BONY MWAITEGE - SAFARI BADO ( New Gospel )


NIMEKUSOGEZEA WIMBO MPYA KABISA WAINJILI UNAOITWA SAFARI BADO TOKA KWA MWANAMUZIKI MKONGWE TANZANIA BONY MWAITEGE.

B2K - DIMAYA ( New Audio )


NIMEKUSOGEZEA WIMBO MPYA WA MWANAMUZIKI B2K TOKA MAKAMBAKO NJOMBE KWA MARA NYINGINE TENA. WIMBO UMEFANYIKA KATIKA STUDIO ZA TOP MAGIC SOUND CHINI YA PRODUCER ECKO IPOGORO IRINGA.

ABASINGLE - MSAGA RHUMBA ( New Audio )


Sikiliza mpya kutoka kwa msanii chipukizi Abasingle Link >

VERSATILE KENYA - ANGELINA ( New Audio )


Find attached is an artwork for a New Release by versatile From Nairobi Kenya.

Sunday, October 18, 2015

NASSER FT NAKAAYA - MAENDELEO ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Nasser akimshirikisha @nakaayasumari katika ngoma kwa jina " Maendeleo" itayokuwa katika Mixtape Project toka @noizmekah na kwa mahojiano zaidi check na @nasser_gullam kwa nambari +255 654 606 122 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

SUPER DIVERS FT TUSIFE MOYO ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi "Super Divers na mwanadada Nancie katika wimbo wao Bongoflava Category kwa jina "Tusife Moyo" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 658 644 604 au +255 659 577 692 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOw

UNIQUE GUYS - APPLE ( New Audio )


kupakua wimbo wa kundi chipukizi kwa jina "Unique Guys" na ngoma yao Bongo Flava Category kwa jina "Apple" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 752 607 998 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

JOHN RODGERS - MAMA ( New Audio )


kupakua wimbo wa John Rodgers kwa jina "MAMA" ikiwa ni mkono toka kwa sheddyclever na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na @johnrodgerz kwa nambari +255 686 276 890 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

DOCUMENTARY: KUTANA NA VIDEO FUPI INAYO ELEZEA UMUHIMU WAKUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VVU.


Muhimu Filamu, ni filamu inayohusu maisha ya vijana na mahusiano ya kimanzi dhidi ya matumizi ya kinga (kondom). Na pia imetengenezwa kwa lengo la kuimiza vijana katika matumizi ya kinga ili kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi yaani VVU. Kampaini ii inatwa MUHIMU CAMPAIN, ni kampendi endelefu kupitia filamu na mafundisho Dhidi ya maambukizi ya VVU. kama umeguswa na wataka kusaidia kampaini ii kufika mbali zaid wasiliana nasi kupia galaxyfilamu@gmail.com KUTANA NA SOUND TRACK ILOTUMIKA KWENYE FILAMU HIO KWAKUBOFYA NAKUSIKILIZA HAPA CHINI.

Saturday, October 17, 2015

RG UNITY - FLY ( New Audio )


kupakua wimbo wa "RG UNIT" kwa jina "FLY" na kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nao kwa nambari +255 762 646 524 au +255 762 238 525 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn --

Monday, October 12, 2015

VANESSA MDEE - NEVER EVER ( New Video )


SIKUMO0JA BAADA YA MWANAMUZIKI VANESSA MDEE MAARUFU KWA JINA LA V MONEY, KUSHINDA TUZO ZA AFRIMA NCHINI MAREKANI. KAACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA UNAYOKWENDA KWA JINA LA NEVER EVER. UNGANA NAMI KWA DAKIKA 3:45 KUTIZAMA VIDEO HII KWAKUBOFYA PLAYER HAPA CHINI.

TRUBADOUR BARUA KWA MC ( New Audio )


artist- TRUBADOUR track- BARUA KWA MC LINK YA WIMBO MPYA KUTOKA MKITO.COM

JORS BLESS - A MOMENT ( New Audio )


Wimbo wa mtayarishaji/Dj uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa upo hewani! Link >

BASAGA MP4 - NIMERUDI ( New Audio )


WIMBO MPYA WA BASAGA(0656 800205) ft 20% - NIMERUDI, STUDIO: TOP MAGIC SOUND, PRODUCER ECKO. [hulkplayer code="faszkdrdcwe8"]

Friday, October 9, 2015

WAKAZI - NATOKEA DAR ( New Audio )


KUTANA NA REFIX YA WAKAZI TOKA KWA OJUELEGBA WA NIGERIA HAPA.

BONIE - NGINA ( New Audio )


kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Bonie kwa nambari +255 754 422 764 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

CHEMICAL - VIP ( New Audio )


Rapper chipukizi Chemical aliyejulikana pia kwa Myself ameachia ngoma mpya V.I.P exclusively akimshirikisha Producer wa AIYOLA ya Harmonize! Pakua hapa >

HEMED - MEMORIES ( New Audio )


Wimbo wa Hemed MEMORIES uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa upo hewani! Link >

CBH - SEREBUKA (New Audio )


Hello!The new song from CBH SEREBUKA. The song was recorded in Seductive Records under the producer Chrixtone The Melody. Another Sampa Music Song. Enjoy it and share. Much love! Peace Find CBH on :- Instagram:- @cbhhalawa @cbhofficl Facebook:- Cbh Halawa Cbh Officl Twitter:- @CBHHalawa @CBHOfficil Youtube:- Cbh Halawa Cbh Halawa | | | | | | | | | | | Cbh HalawaHome Best of YouTube Popular on YouTube Music | | | | View on www.youtube.com | Preview by Yahoo | | | | | SoundCloud.CBH Officialhttps://soundcloud.com/cbhofficial Reverbnation:- CBH Official CBH Official | Singer Songwriter from Dar es Salaam, TZ | | | | | | | | | | | CBH Official | Singer Songwriter from Dar es Salaam, TZSinger

WASOJALI BAND - MARADHI YA MOYO ( New Audio )


Kindly find attached is a new release by Wasojali Band.

Tuesday, October 6, 2015

MABESTE - USIWE BUBU ( New Video )


NIMEKUSOGEZEA VIDEO MPYA YA MABESTE AKIWA NA MKEWE NDANI, LISA KAMA VIDEO QUEEN INAYOKWENDA KWAJINA LA USIWE BUBU.

TIZZY B FT DAMOST - BAD MOOD TEMPER ( New Audio )


KUTANA NA MWAHIPHOP KUNTU, TOKA MBEYA TIZZY B. KAJA NAMDUNDO MZITO TOKA KWA PRODUCER DA MOST. KWA MAWASILIANO NA TIZZY B 0752204512,kutoka mbeya city

IZZO BIZNESS FT MWANA FA & G-NAKO - SHEM LAKE ( New Audio )


"Shemeji AHH Shemeji WEE Shem Lake YEYEYEE. . ." ni chorus ya wimbo mpya wa Izzo Bizness SHEM LAKE akiwashirikisha Mwana FA na G Nako! Link >

MONI CENTROZONE - KIRIKUU ( New Audio )


Kitu kipya KIRIKUU cha Moni wa kundi la Centralzone sasa kipo hewani kutoka Tongwe Records Link >

SKILL NDAGE FT DRA, LADY TANA & AKILIMALI - TANZANIA ( New Audio )


kupakua wimbo kwa jina "TANZANIA" wa msanii "Skill Ndage akiwashirikisha Lady Tana,Akilimali pamoja na Producer Dra, na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 754 918 457 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn Nyimbo zingine HAPA https://mkito.com/song/ni-pesa-ft-nywele-boy-dra/16564

JAMBO SQUAD, J-DEAL, RUFF-G, YOUNG OMEGA - KANUNA ( New Audio )


kupakua Refix ya (My Woman) wa JamboSquad Young Omega, Ruff G, J Deal, kwa jina "KANUNA" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kwa nambari +255 762 164 241 & +255 653 610 249 7powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @odiijambo @djhaazu @jambosquad @chaliijambo @mkitodotcom @defxtro #SupportYourOwn

KEVOO HARD - I WISH ( New Audio )


ARTIST - KEVOO HARD SONG - I WSH PROD. STEVE WHITE