Sunday, August 21, 2016

Babbi - Follow Me | Video


BAADA YA BABBI KUTOKA NA VIDEO YA KOROKOKOYA SASA ANAKULETEA VIDEO YAKE MPYA FOLLOW ME.
MSANII  - BABBI
NYIMBO - FOLLOW ME
Instagram - babbi_music
Twitter - babbi_music
Facebook - babbi

HARD AFRICAN BOY COMPANY  - 0718084411


Tizama Video yake hapa chini


Dogo Mwange - Mwajuma | Audio

dogomwange ni msanii wa kisingeli, Upakue wimbo wake hapa chini kwenye Kitufe cha  Downloads
https://my.notjustok.com/track/download/id/123336
Kuusikiliza Online Bofya kitufe hiki hapa chini


Gami Dee - Kayogo | Audio


GAMI Dee Kayogo pro Kyaba & Samu Texerz.mp3. Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha download hapa chini.

https://my.notjustok.com/track/download/id/123332
 Kuusikiliza ukiwa Online Bofya kitufe cha Play hapa chini

GreenGold - kwako | Audio


Wimbo Mpya wa Msanii GreenGold unaoitwa "kwako" ni wimbo mpya kabisa toka kwa msanii huyu ambao umetayarishwa na Producer Silley, kutoka katika Recording label ya S.M.G [Sampamba Music Group] nchini Tanzania. Kuupakua wimbo huu Bofya hapa chini kwenye kitufe cha Download


https://my.notjustok.com/track/download/id/123331

 
kuusikiliza Online Gusa hapa chini