Wednesday, July 27, 2016
Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Video
Nafasi yako tena kutizama Video Mpya ya Mwanamuziki Kala Jeremiah na Mtoto Miriam Chirwa wakiwa pamoja katika Video Moja.
Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Audio
Nafasi yako nyingine tena Kuusikiliza wimbo mpya wa Mwanamuziki Kala Jeremiah uitwao Wanandoto. Wimbo huu kamshirikisha bint mwenye umri mdogo ambae anakipaji pekee aitwae Miriam Chirwa. Umefanyika chini ya Mikono ya Zest Moja Moja Records. Kuupakua Gusa kitufe chekundu hapa chini chenye neno Download....