Saturday, July 16, 2016
Jux - Wivu | Video
Tumia dakika zako 03:48 tu kutizama video mpya ya mwanamuziki Jux, akiziteka hisia za wanawake wengi kupitia wimbo huu.
Darasa - Too Mucha | Video
Hujachelewa Itizama video mpya ya Darasa hapa inayokwenda kwa jina la Too Much toka kwa Director Hanscana.
Roma featuring Jos Mtambo & Darasa - Kaa Tayari | Video
Pata nafasi nyingine tena yakutizama video mpya ya Mwana muziki Roma akiwa kamshirikisha Darasa, na Jose Mtambo ndani.