Wednesday, January 20, 2016

MSAMI BABY - MABAWA ( New Audio )


Hii hapa nafasi yako na wewe kuburudika na MABAWA ya Msami Baby! Wimbo mpya kabisa uliotengenezwa na Aby Dad, Chaiderz Recs. Peperuka nao hapa >

LAKI KID ft KASHKEED & KEYSHA BROWN - DRINK IN TWO STEP ( New Video )


Official music video | Laki kid ft Kashkeed & Keysha brown - 2 step

PREZO - MREMBO ( New Audio )


PREZZO ameangaziwa sana Kwenye mitandao za kijamii baada ya Kuhojiwa kwenye Televisheni Kuhusu huu wimbo wake mpya.Hebu kuwa wa Kwanza kupakua hapa wimbo wake “MREMBO”:

MACHO KWENYE FEDHA ( New Audio )


wimbo mpya wa Dj nass anajulikana kama Iringa boy akimshirikisha Rapper Nemy Mc.na Mkwawa wasanii toka nyanda za juu kusini.wimbo huu umeandaliwa katika studio za Sampamba Music zinazo julikana kwa jina la S.M.G Wimbo unaitwa Mcho kwenye Fedha