Saturday, December 31, 2016

Trubadour - Mahakama ya mwanzo | Audio

Track- MAHAKAMA YA MWANZO
Artist- TRUBA
Produced by Proba
Time records





Huu ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya utamaduni wa HIP HOP na kutoa mwongozo wa jinsi muziki wa HIP HOP unavyotakiwa kufanywa. Wimbo huu ni utangulizi wa wimbo utakaotoka mwezi wa kwanza nilioshirikiana ya msanii YOUNG KILLER pamoja n LAYLA toka THT. KAULI MBIU YETU. #RUDI KUNDINI# WE OWN GAME.


https://my.notjustok.com/track/download/id/165870


Frege - Dear Moureen | Audio

Track:- DEAR DAUGHTER
Artist:- FRED FREGE

https://my.notjustok.com/track/download/id/165865

Monday, December 12, 2016

Sio Bure - Come Dash Ft Baraka Da Prince | Audio

Singer Name;-Come Dash Ft. Baraka Da Prince
Song Name:-Sio Bure
Country;-Tanzania
    
Genre;-Bongo Fleva
Producer;-Mr t touch

Hi,
I hope you're doing well.
This is brandy new song from Touchez Studio by
 Artist;-Come Dash Ft. Baraka Da Prince
  track;-Sio_Bure
We thanks for promoting us everyday..
God bless you...Call me +255766346778 For More Information..
https://my.notjustok.com/track/download/id/158570

Mahela ft Norah B - Mke tifu | Audio

wimbo unaelezea aina ya mwanamke alie natamaa lakini pia hana shukrani anachopewa na mumewe pia anatafuta visa ili itokee waachane

artist: Mahela ft Norah B
song: Mke tifu
studio ; untouchable music (prod. drbeny)
cont.: 0715 886 077 (njombe)
https://my.notjustok.com/track/download/id/158569

bwana misos ft Nuru elly - makofi kwa magufuli | Audio

Artist---BWANA MISOSI FT NURUELY
SONG---MAKOFI KWA MAGUFULI
PROD---ZEST


https://my.notjustok.com/track/download/id/158565

Esaya - Maumivu | Video


Song: Maumivu
Artist: Esaya
Director:- Mareys

B Gway ft Mee Brown - Nimepoa | video

Artist | B GWAY
Feat Artist | MEE BROWN
Tittle | NIMEPOA
Director | IVAN
 
 

Sunday, December 11, 2016

Fresh Andy Alipopanda na Sorry kwa mara ya kwanza jukwaa la Mtikisiko2016 Iringa. | Video

Nimekusogezea Kionjo cha show ya Mtikisiko,  aliyoifanya Dogo Scopy aka Fresh Andy tar 10/12/2016 Iringa



Lina Tweve - Nainua Mikono (Gospel) | Audio

Anaitwa Laina  Tweve msanii wa nyimbo za injili kutoka njombe

MAWASILIANO
   
    
https://my.notjustok.com/track/download/id/158213
 

G Love ft Dislva - Hakuna Kama wewe | Audio

Up coming mwanamuziki WA kizazi Kipya G.LOVE Super Kutoka iringa Kazi hii imefanyika dares salam  studio serious record prod d.damy

https://my.notjustok.com/track/download/id/158202

Basaga ft Beka title - Badilisha poz | Audio

Kutana na ngoma mpya ya Basaga akiwa kamsirikisha Beka Title.

Pakua hapa chini

https://my.notjustok.com/track/download/id/158199

Habbi ft Kidumu - Hoi | Audio


ARTIST - BABBI FEAT KIDUMU
SONG - HOIInstagram - @babbi_musicFacebook - BABBITwitter @babbi_music

https://my.notjustok.com/track/download/id/158196

Fresh andy aka Dogo Scope - Sorry | Audio

Kama ulipitwa na wimbo mpya wa Fresh andy aka Dogo Scope funga mwaka huuhapa. PAKUA HAPA CHINI.

Wimbo: Sorry
Msanii: Scope (Fresh Andy)
Studio: Chris Records (Mafinga)
Produ: Fide & K-Sam
 
https://my.notjustok.com/track/download/id/143225
 

Monday, December 5, 2016

Nasi ft Meda - Mrembo wa Uswazi | Video

Song produced by Izzy - PLAY RECORDS
Video Directed By Shama Kilasi
Call:0717 772366
instagram: @nasiofficial
instagram: @medaclassic
ENJOY...

Sunday, October 30, 2016

B-Alone - Nakupenda Mama | Video


Baada ya Ukimya wa takribani miaka mitatu sasa, Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la B Alone alie Vuma saana na Kibao cha Kombolela wakati Huo, Leo karejea tena na video Mpya iitwayo Nakupenda mama. Kama Hujaitizama Unaweza Gusa Player ya Video hio hapa chini.

Friday, October 28, 2016

ObbySan - Hili Game | Audio

Obbysan toka mlandege iringa dory south,,,,cover ya hili game
j.nature..prod: Ex- toka M.town reco mbagala....
..

Kuupakua wimbo Huu bofya kitufe cha Download Hapa chini

https://my.notjustok.com/track/download/id/143266
 
Kuusikiliza huku ukiwa Online Gusa hapa chini

Walumi ft Attu - Show | Audio


Walumi_Ft_Attu_Show me love_[Prod by Sampamba Music]

Kuupakua wimbo huu bofya kwenye kitufe cha Download hapa chini.

https://my.notjustok.com/track/download/id/143225
Kuusikiliza wimbo huu huku ukiwa online Gusa kitufe cha play hapa chini.

Ndox - Lete Glass | Audio


Ndox_Lete Glass_[Pro by Sampamba music]

Kuupakua wimbo huu Bofya hapa chini
https://my.notjustok.com/track/download/id/143215
 Kuusikiliza online Gusa hapa chini

Jhikoman - Selina | Audio

Jhikoman akishirikishwa na Jilema Shija wamejitosa na kuja na wimbo wa Bongo Fleva inayoitwa SELINA!

Kuupakua wimbo huu Bofya Kitufe cha Download Hapa chini.

https://my.notjustok.com/track/download/id/143213
Kuusikiliza huku ukiwa Online Bofya hapa chini

Phillz - Bambaah | Audio

Artist- Phillz
Track- Bambaaah
Prod by Sampamba Music

Kuupakua wimbo huu, Gusa kitufe cha Download Hapa chini.
https://my.notjustok.com/track/download/id/143207



Kuusikiliza Wimbo huu ukiwa Online Gusa kitufe cha Play hapa chini

Sunday, October 16, 2016

Ommy-Dar - Hofu | Audio

Msanii Ommy Dar ameamua kuja na ujio mpya  wa wimbo wake  unaitwa Hofu
wimbo umetayarishwa na Producer Silley kutoka Recording label ya Sampamba music[S.M.G] iliyopo nchini Tanzania Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha download hapa chini

https://my.notjustok.com/track/download/id/139917
Kuusikiliza ukiwa online gusa hapa chini

Saturday, October 15, 2016

TEGEMEA FILAMU YENYE MASHIKO SIKU CHACHE ZIJAZO KWA JINA LA MPISHI WA SAMAKI | COMING SOON




ZAIDI WAWEZA TEMBELE POST ZA MUONGOZAJI NA MUANDAAJI MKUU WA FILAMU HIO HUSENI NYALUSI MAARUFU KWA JINA LA TENYA BROWN HAPA CHINI

Sunday, October 9, 2016

Monsta Mc ft Stive king - Barua kwa shetani | Audio


Monsta Mc ft Stive king-Barua kwa shetani.mp3 Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha Download hapa chini
https://my.notjustok.com/track/download/id/137787
Kuusikiliza wimbo huu ukiwa Online Bofya kitufe cha alama ya Play

Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man - RIP (REST IN PUBLIC)

Artist- Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man
Track- RIP (REST IN PUBLIC)
Producers- Silley & Teknohama
 Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha Download Hapa chini...
https://my.notjustok.com/track/download/id/137783
Kuusikiliza huku ukiwa online Bofya kitufe cha Play Hapa chini.