Sunday, October 30, 2016
B-Alone - Nakupenda Mama | Video
Baada ya Ukimya wa takribani miaka mitatu sasa, Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la B Alone alie Vuma saana na Kibao cha Kombolela wakati Huo, Leo karejea tena na video Mpya iitwayo Nakupenda mama. Kama Hujaitizama Unaweza Gusa Player ya Video hio hapa chini.
Friday, October 28, 2016
Walumi ft Attu - Show | Audio
Kuusikiliza wimbo huu huku ukiwa online Gusa kitufe cha play hapa chini.
Sunday, October 16, 2016
Saturday, October 15, 2016
TEGEMEA FILAMU YENYE MASHIKO SIKU CHACHE ZIJAZO KWA JINA LA MPISHI WA SAMAKI | COMING SOON
ZAIDI WAWEZA TEMBELE POST ZA MUONGOZAJI NA MUANDAAJI MKUU WA FILAMU HIO HUSENI NYALUSI MAARUFU KWA JINA LA TENYA BROWN HAPA CHINI
Sunday, October 9, 2016
Trio - Friends | Audio
The
songs talks about a guy wanting to be lovers with his best friend
girlfriend since he cant make that happens he just he wishes that they
can just be friends ..composed and written by Gach,Trio also there are
involvement of other artist voices Gestryder and Rayvanny.Green records
Unaweza kuupakua wimbo huu kwa kubofya kitufe cha Downloads hapa chini
Kuusikiliza wimbo huu online gusa hapa chini
Unaweza kuupakua wimbo huu kwa kubofya kitufe cha Downloads hapa chini
Saturday, October 8, 2016
Je Unakipaji cha Kuimba? Sampamba Music Yatangaza nafasi za Bure kwako | News
Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia?
kama unakipaji kizuri cha kuimba na kutunga Sampamba Music inakupa nafasi wewe msanii au muimbaji wa Bongo flava na Gospel na kukusaidia kurecord bule kabisa katika studio ya Sampamba Music iliyopo nchini Tanzania Inayojulikana kwa jina la Sampamba Music [S.M.G]
wahi sasa ili upate form kwaajili ya kupata maelekezo nini cha kufanya.
kumbuka ni kwa waimbaji wa kidunia [bongo flava] na Gospel,usichelewe ili upane nafasi hii ya ndoto yako,na haijalishi wewe unauwezo wa kifedha au hauna tunachokiangalia toka kwako ni kipaji chako,,,Ili upate form piga sim no 0716469630 au 0763231052
Sampamba music tunatambua umuhimu wa kipaji chako!
Kipaji chako ndio mafanikio yako...Usiogope amua sasa!