Sunday, August 28, 2016

Stev King - Mahaba Niue (Cover from Maua Sama) | Audio

Pakua wimbo wa Cover wa Maua Sama ulofanywa na Steve King Mahaba Niue.

Kuupakua Bofya hapa chini kwenye kitufe cha Download...

https://my.notjustok.com/track/download/id/125306
Kuusikiliza Online bofya kwenye kitufe cha Play Hapa chini.




Polo ft Palmo - Marry you |

Polo_Ft_Palmo_Marry you_Official Video 

Polo is a female record artist based in Dar es Salaam Tanzania, signed under 8milebeats music group, music label in the year 2015. Marry you is her first song to be released in her album SKY IS THE LIMIT featuring Tanzanian record producer palmo, who is also the song"s producer.Enjoy

Snaida ft Sein Sein F.M.D | Video

Snaida ft Sein Sein F.M.D (Official Video) 

Audio produced by - Florizy PLAY RECORDS
Video directed by LU PUNJE
Wadrobe by THE BAD SPENDERS
 

The Light - Isabela | Video

Video mpya ya Kundi jipya katika mziki wa bongo fleva linaitwa The
Light  wameachia wimbo wao unaitwa “Isabela”, Video imeongozwa na
Junior Kigawa.

Tuesday, August 23, 2016

Gifted Son - I Am Gifted | Audio


Singer Name:- Gifted Son Song Name:- I Am Gifted Country;- Tanzania Producer - BY BINLADEN & SLIM SAL. Kuupakua wimbo huu Bofya Kitufe cha Download hapa chini.
https://my.notjustok.com/track/download/id/123823
Kuusikiliza Online Bofua hapa chini

Mwanamke Jeuri Hapigwi, ila ......| Comedy


Tumia Dk 1:16 Kutizama kichekesho cha Mchekeshaji Shamoon Shaibu aka Kitasa katika Kipande kidogo cha Video hii hapa chini.

Sunday, August 21, 2016

Babbi - Follow Me | Video


BAADA YA BABBI KUTOKA NA VIDEO YA KOROKOKOYA SASA ANAKULETEA VIDEO YAKE MPYA FOLLOW ME.
MSANII  - BABBI
NYIMBO - FOLLOW ME
Instagram - babbi_music
Twitter - babbi_music
Facebook - babbi

HARD AFRICAN BOY COMPANY  - 0718084411


Tizama Video yake hapa chini


Dogo Mwange - Mwajuma | Audio

dogomwange ni msanii wa kisingeli, Upakue wimbo wake hapa chini kwenye Kitufe cha  Downloads
https://my.notjustok.com/track/download/id/123336
Kuusikiliza Online Bofya kitufe hiki hapa chini


Gami Dee - Kayogo | Audio


GAMI Dee Kayogo pro Kyaba & Samu Texerz.mp3. Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha download hapa chini.

https://my.notjustok.com/track/download/id/123332
 Kuusikiliza ukiwa Online Bofya kitufe cha Play hapa chini

GreenGold - kwako | Audio


Wimbo Mpya wa Msanii GreenGold unaoitwa "kwako" ni wimbo mpya kabisa toka kwa msanii huyu ambao umetayarishwa na Producer Silley, kutoka katika Recording label ya S.M.G [Sampamba Music Group] nchini Tanzania. Kuupakua wimbo huu Bofya hapa chini kwenye kitufe cha Download


https://my.notjustok.com/track/download/id/123331

 
kuusikiliza Online Gusa hapa chini

Tuesday, August 16, 2016

Mo talent~tulia | Audio

Mo talent~tulia pro.j wiss k star rec

https://my.notjustok.com/track/download/id/121446

 

Kuusikiliza online Bofya hapa

BABYBOY MAPOZY - DADY WHERE ARE YOU | Audio



Babyboy mApozy_Dady where your are.mp3 upakue hapa kwa kubofya kitufe cha Download hapa chini
https://my.notjustok.com/track/download/id/121437
Kuusikiliza online bofya hapa chini

Zamo Lee - Mwendo Kasi | Audio


Artist Zamo Lee,, Song Mwendo kasi Producer Dj mrisho Studio Mr records 0715940303 Kuupakua wimbo huu bofya hapa chini kwenye kitufe cha neno Download
https://my.notjustok.com/track/download/id/121419
au kuusikiliza online unaweza bofya hapa chini

Friday, August 12, 2016

Basaga ft Vole welle - Wana Ndoto (Cover) | Audio


Pakua wimbo wa Marudio wa Mwanamuziki Basaga uitwao Wanandoto, Ambao mwanzo ulifanywa na Mwanamuziki Kala Jeremiah. Bofya kitufe cha Download hapa Kuupakua wimbo huu.
Add caption
Kuusikiliza ukiwa Online Bonyeza hapa kwenye kitufe cha Play

Tino mafia– Sina Raha | Video

Tino mafia– SINA RAHA– official video –directed by steven ombella

 

Kuutizama wimbo huu bonyeza hapa chini...

Thursday, August 11, 2016

Barua ya wanandotokwa kwa Media zenye vikwazo | Barua


Inasikitisha sana kuona baadhi ya vyombo vya habari haviupi promotion ya kutosha wimbo wa wanandoto wa kala jeremiah. Ukizingatia wimbo huo unaongelea maswala ya watoto yatima inamaana vyombo vya habari havinauchungu na watoto yatima. Wimbo siyo wa watoto yatima tu bali ni wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu. Kama mtu anabisha kuwa huu siyo wimbo pekee mkubwa kwa mwaka huu aniambie ni wimbo gani unauzidi wanandoto. Hii ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa muziki wetu. Tumesahahau tulikotoka na hatujui tunapokwenda. Wimbo wa wanandoto naufananisha na wimba wa starehe wa ferouz hii inamana ferouz angetoa wimbo huu miaka hii usingechezwa kama ulivyochezwa na usinge kubalika kama ulivyokubalika.watu wa vyombo vya habari tuweni wa kweli mtu akifanya kitu kizuri kisapotini. Basi hata fanyeni kwa ajili ya watoto yatima. Au watoto yatima sichochote kwenu?.simanishi vyombo vya habari vyote ila baadhi hawautendei haki wimbo huu. Hivyo kama Mdau wa Muziki na kama unamchango katika sanaa ya Muziki, unaombwa kua real katika kusaport kazi nzuri na zenye matokeo Chanya katika jamii. By Selenga Kaduma

Wednesday, August 3, 2016

Muntu Muntu Baby - Ndigima | Audio


Pakua wimbo Huu kwa kubofya kitufe Cha Downloa Hapa chini
https://my.notjustok.com/track/download/id/116535
Au unaweza usikiliza ukiwa Online kwa kubofya kitufe chenye alama ya play hapa chini.