Sunday, July 31, 2016

Filamu Mpya Kali ya Mahusiano Kuingia Mtaani hivi punde | Coming Soon

"FIGISU LA NDOA"

Figisu La Ndoa (Official Movie Trailer)


ARTIST: A Fighters Arts Family
PRODUCTION: FAF & TNE Studio
EXECUTIVE PRODUCER: Fighters Arts Family
DIRECTED BY: Philip Nicholaus
WRITTED BY: Steven Kalinga


CONTACT:
Email: fightersartsfamily@gmail.com
Follow on Youtube: @fightersartsfamily
Follow on Facebook: fightersartsfamily
Follow on whatsApp: +255 656 722223
Mobile: +255 655 665650 +255 764 722422 +255 672 539726

Mansu-Li ft Zaiid - OneTwo | Video


Music Video by Mansuli Perfoming ONE TWO ft ZAiiD.
Audio produced by Cjamoker at Bantu Records
and Video is directed by Inno Mafuru under M-Visual.
'Karibu Kuitazama'

Ainea - Acha Waseme | Audio


AINEA= ACHA WASEME PROD KIMAMBO ECK PRODUCTION SUPPORT YAKO SUPPORT GUD MUSIC +255764326219,0718246258 Kupakua Bofya hapa chini kwenye kitufe cha Download
Add caption
Na kuuplay Online Bofya hapa chini

Swahili hiphop band - Swahili | Video


Swahili_swahili hiphop band_Directed by Kyonaboy media production

Wednesday, July 27, 2016

Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Video



Nafasi yako tena kutizama Video Mpya ya Mwanamuziki Kala Jeremiah na Mtoto Miriam Chirwa wakiwa pamoja katika Video Moja.

Kala Jeremiah ft Miriam Chirwa - Wanandoto | Audio


Nafasi yako nyingine tena Kuusikiliza wimbo mpya wa Mwanamuziki Kala Jeremiah uitwao Wanandoto. Wimbo huu kamshirikisha bint mwenye umri mdogo ambae anakipaji pekee aitwae Miriam Chirwa. Umefanyika chini ya Mikono ya Zest Moja Moja Records. Kuupakua Gusa kitufe chekundu hapa chini chenye neno Download....

https://my.notjustok.com/track/download/id/114232



Kuusikiliza Online Bonyeza Kitufe cha alama ya Play Kwenye player hapa chini...

DYP - Mpaka Majogoo | Audio


Pakua kwa kugusa kitufe chekundu hapa chini wimbo wa Dyp Mpaka majogoo.
https://my.notjustok.com/track/download/id/114223
Kuusikiliza online unaweza Gusa kitufe cha play hapa chini

Monday, July 25, 2016

Chindo Man ft Wakazi, Dully Sykes & Fid Q - Torati Ya Mtaa | Video


Tumia dakika zako 03:52 kutizama video ya Mkongwe Chindo Man feat Fid Q, Wakazi and Dully Syskes - Torati ya Mtaa toka studio za 4.12 kwa mwanamuziki Dullysykes aliefanya chorus pia humu ndani.

Thursday, July 21, 2016

Seven King ft Diz Flame - Meaning Of Living | Audio

Artist: STEVE KING FT DIZ FLAME
Song: MEANING OF LIVING
Production: Genius Records

Kuupakua wimbo huu bofya hapa kwenye kitufe cha Download hapa chini.
https://my.notjustok.com/track/112443
Kusikiliza online fanya kama unabofya hapa chini....

Troubadour - Hewa | Audio



Artist- Trubadour George
Track- HEWA
Producers- Problem & Silley

Kuupakua wimbo huu bofya kitufe Cha download hapa chini.
 


https://my.notjustok.com/track/download/id/112283
Kuusikiliza wimbo huu online unaweza play hapa chini...

Wednesday, July 20, 2016

Swagg Daddie ft Rogger & Ding Dong Ferrary - About Love | Audio

Swagg daddie
         FT
Ding dong Ferrari
           n
Roger de Maker
Song;about love
Producer:Roger de maker
Studio:Xfer Lab

Unakaribishwa upakua wimbo huu kwa kubofya kitufe cha Download hapa chini.
https://my.notjustok.com/track/download/id/112265
Kwa kusikiliza online bonyeza Kitufe chenye alama ya Play hapa chini

TIZAMA HAPA PICHA 15 ZA UJIO WA VIDEO MPYA YA KALA JEREMAYA | Photos
















Hizi ni baadh tu ya picha toka location ambazo Mwana muziki Kala Jeremaya ana video yake tayari mkononi na audio Inayokwenda kwa jina la Wanandoto Anavyo taraji achia Rasmi mtaani tar 26/07/2016 saa 9 mchana. Pia katika video hio inasemekana Ameshirikishwa binti Mdogo mwenye kipaji cha kipekee kwenye muziki. Endelea kuungana nami hapa ili kua wakwanza kuipata video hii na audio yake kwakutembele hapa hapa.

Saturday, July 16, 2016

Jux - Wivu | Video


Tumia dakika zako 03:48 tu kutizama video mpya ya mwanamuziki Jux, akiziteka hisia za wanawake wengi kupitia wimbo huu.

Darasa - Too Mucha | Video


Hujachelewa Itizama video mpya ya Darasa hapa inayokwenda kwa jina la Too Much toka kwa Director Hanscana.

Roma featuring Jos Mtambo & Darasa - Kaa Tayari | Video


Pata nafasi nyingine tena yakutizama video mpya ya Mwana muziki Roma akiwa kamshirikisha Darasa, na Jose Mtambo ndani.

Thursday, July 14, 2016

Dr Beny - Tabia | Audio

Artist : Dr.Beny
Song : Tabia
Studio ; untouchable rec.
Prod : Dr.Beny
Cont. 0715 886 077

Kuupakua wimbo huu bofya hapa chini kwenye kitufe chekundu cha Download

https://my.notjustok.com/track/download/id/110277
 
Kwa kuusikiliza wimbo huu online Bofya kwenye kitufe cha alama ya Play hapo chini.

Saturday, July 9, 2016

Tizama na Sikiliza Wasifu wa Mwimbaji Angel Benard | Bioghraphy


Umekua ukitaman mjua zaidi mwimbaji wa injili Angel benard? nimekusogezea hapa video fupi alizojizungumzia mwenyewe.

MAKAVU LIVE YA 2N MKULIMA BISHOW DHIDI YA MEDIA ZA MBEYA. | General News

Mwana muziki mkongwe wa Hit song ya Jembe (Zamani) na Sinema Remix (Sasa) tokea dar, Amekua na ziara yake ya media tour kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa muda wa mwezi mmoja sasa ambapo ziara yake imeisha rasmi leo tar 09/07/2016 ikiwa kama sehemu ya yeye kuitambulisha nyimbo yake mpya na kuaanza andaa maandalizi ya ujio wake wa album yake mpya. Akiwa katika tour hio amekiri pata Support kwa kiasi kikubwa kwa mikoa yakusini mwa Tanzania isipokua Mbeya. Nini kimemkumba zaidi some hapa chini kupitia post yake ya Instagram


Asante MUNGU nimemaliza media tour YANGU ya Nyanda japo vikwazo vilikua vingi sana sana katika jijini Mbeya niliumia sana sana jiji nililozaliwa na Kukulia hapo kunyimwa kabisa ushirikiano wengine wakidiliki kuniomba chochote kwanza ndo nisapotiwe wakati kote nilikoanzia cjaobwa chochochote na nilisapotiwa kwa nguvu zote ni radio moja tu Mbeya iliyokubali kunisapoti bila kikwazo chochote thanx bomba FM 100.4 mbeya @shaban_nassoro @dj_speedbrother @killerbwoy Asante radio zote Za nyanda za juu kwa ushirikiano wenu kwa wasanii wa nyanda za juu kusini kwa sapoti ya ukweli izi radio nimefanya intar view bila kipingamizi na ushirikiano wao kwangu wa kutosha ebony FM iringa@fredoombunji Nuru Fm @rogermagoha Makambako aice fm @gamideetz Njombe kings fm@robbydabby Uplands fm@ergonelly Sumbawanga ndingala FM @emmodapro100 Chem chem radio @petetmalema @vjyusto Nkansi FM @djmwinyi Ludewa green FM @edwinmoshi Blogger Mkubwa Nyanda za juu kusini @selengakaduma Kitulo Fm @giftkyando Asante sana Nyanda za juu kwa hiii sapot @2n_mkulimabishow

A photo posted by 2n mkulima bishow (@2n_mkulimabishow) on

Friday, July 8, 2016

Izzo Bizness Ft. Barnaba & Shaa - Usijiovadoze | Audio


Kua wakwanza kuupata wimbo wa Izzo Bizness Ft. Barnaba & Shaa - Usijiovadoze | Mp3 Download
https://my.notjustok.com/track/download/id/108252
Unaweza play Online kwa kubofya kitufe cha alama ya play hapa chini...

Silvabel ft The Melodians - Dawa (Gospel) | Video


Tizama hapa Wimbo mpya wa Silvabell_Wimbo unaitwa Dawa

Monday, July 4, 2016

Angel Benard - Salama (Gospel) | Video


Andelea kubarikiwa kwa kusikiliza na kutizama Ghospel song toka kwa Mwimbaji Angel Benard. Follow Angel Benard: Facebook: www.facebook.com/AngelBenardOfficial Instagram: @angelbenardofficial Twitter: @AngelBenard

Sunday, July 3, 2016

Nelly ft Nicholaus & Sumaryder - Mashankupe | Audio

Artist: Nelly ft Nicholaus & Sumaryder
Song: Mashankupe
Prod: R.Name
Producer: R.name Records
 
Pakua wimbo huu hapo chini kwa kubofya kitufe cha download...
 
kusikiliza online bofya kitufe hapo chini chenye alama ya Play.
 

Mo Talent ft Paff Raper - Nikupeti | Audio

Artist: mo talent

Song: Nikupeti

Production: Q5

Producer: J Wiss

Contact: 0744967066

Kuupakua wimbo huu bonyeza kwenye kitufe kilichoandikwa Download Hapo chini..
https://my.notjustok.com/track/download/id/106795


 
Kusikiliza Online bofya kitufe chenye alama ya play hapo chini

Saturday, July 2, 2016

Real Ice - Barua Kwa Wema | Audio

Artist : Real Ice
Song : Barua kwa Wema
Studio : Chris records
Producer : K-Sam 

Pakua wimbo huu kwa kubofya kitufe cha download hapo chini

https://my.notjustok.com/track/download/id/106515

Kusikiliza Ukiwa Online, bofya kitufe cha alama ya play hapo chini