Sunday, February 14, 2016
Friday, February 12, 2016
Monday, February 1, 2016
REAL JOF FT NAY WAMITEGO - UNANIONEA ( New Audio )
nimekusogezea wimbo mpya toka kwa mwanamuziki real jof akiwa kamshirikisha mwanamuziki Nay wa Mitego.
KING KAKA FT NAVIO & JAY MOE - RUSHA ( New Audio )
Wimbo “RUSHA” umeachiwa na KING KAKA ambaye amejiunga na amemshirikisha NAVIO pamoja na JAY MOE. Isitoshe, mixtape hii “It’s The King" ina nyimbo 14. Pakua mkito huu hapa:
INSPECTOR HAROUN FT JAY MOE & IBRA - JANUARY TO DECEMBER ( New Audio )
Inspector Haroun amerudi tena na safari hii yupo na Ibra na Jay Moe kwenye wimbo mpya January to December!
"Shkamoo Januari nasema bye bye, pilau na wali tutaonana Februari" ndivyo inavyoanza verse ya babu.
Burudika na wimbo huu hapa >
RAMYY - LOVE ( New Audio )
Singer Name:- Ramyy
Song Name:- Love
Country;- Tanzania
Producer - Dashy Touch.
Contact : 0672960008
ABBY SKILLS - MAMA KOKU ( New Audio )
Abby Skillz ni mmoja wa wasanii wa Bongo Flava aliyekuwa kwenye game kwa muda mrefu akifanya kazi na wasanii wengi kama Dully Sykes, Mr Blue na wengine wengi! Amewahi kutamba na nyimbo kama "Nakupenda" na "Mimi na Wewe"
Huu hapa wimbo wake Mama Koku!
Link >