Saturday, January 30, 2016

ZAIID - KIMBAU MBAU ( New Audio )


IKIWA SIKU CHACHE ZIIMEPITA TANGU MWENA MUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA ZAIID,KUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA. AJA NA TRACK IJULIKANAYO KAMA KIMBAU MBAU. UNGANA NAMI KWA LINKI HAPA CHINI KUISIKILIZA AMA KUIPAKUA.

Lady kwilega ft last born Mpera mperaOfficial Video


Singer Name:- Lady Kwilega Ft. Last Born Song Name:- Mpera mpera Country;- Tanzania Director:- Ze-Make Videos Yotube video link==> http://youtube.com/watch?v=qmcExjlVKYs -- Joh Venture C/o JohVenturetz dot Com P.O BOX 01 BUNDA - Mara Mobile : +255 (0)766 346778 +255 (0)625 909189 WhatsApp : +255 (0)766 346778 Email: JohVenture05@gmail.com

STAMINA FT MR BLUE - PANGA PANGUA ( New Audio )


Stamina ameachia album yake aliyokuahidi Mt. Uluguru ikiwa na nyimbo 20! Licha ya hiyo, Stamina ameongeza nyimbo 6 BONUS kwenye album hiyo ambazo zitakuwa zikipatikana www.selengakaduma.blogspot.com kwa widget za Mkito.com Wimbo wa kwanza kwenye bonus hizo ni huu hapa akimshirikisha Mr Blue, Panga Pangua!

G-NAKO - ORIGINAL (OG) Official Video


Weusi Presents #OG Official Video Bofya HAPA https://www.youtube.com/watch?v=2cdCd1GBTZM wimbokutazama Video ya @gnakowarawara aka #MrOG ngoma kwa jina #OG "ORIGINAL" toka studio za The Industry produced by @NahReel & directed by @Gorilla_films kwa mawasilano/mahojiano check na @gnakowarawara kwa nambari +255 715 593 041 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn Pakua Audio via @mkitodotcom HAPA https://mkito.com/song/og-original/18366

GENTRIEZ, MASEBO & MABESTE - NIMEKUMISI ( New Audio )


kupakua wimbo wa @Gentriez ft @Masebohazto & @Mabeste_tanzania kwa jina #Nimekumisi Produced by @masebohazto na kwa mahojiano mawasilano zaidi check na #Gentriez kwa nambari +255 788 172 341 powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com @djhaazu @j4cinyo @vmgafrica #SupportYourOwn

Oka d ft man boy - fake pastor Official Video


Hi, I hope you're doing well. This is brand NEW video from Mayuya Entartaiment by Artist - OKA D ft Man boy track_Fake Pastor We thanks for promoting us everyday.. God bless you... Joh Venture C/o JohVenturetz dot Com P.O BOX 01 BUNDA - Mara Mobile : +255 (0)766 346778 +255 (0)625 909189 WhatsApp : +255 (0)766 346778 Email: JohVenture05@gmail.com

JUMA NATURE FT CANNIBAL - KIDALUSO ( New Audio )


Burudika na wimbo mpya wa Sir nature na Cannibal kutoka 254 - Kidaluso! Link

Tuesday, January 26, 2016

JAHAZI MODERN TAARAB FT VANESSA MDEE - HEWALLA ( New Audio )


Pakua wimbo mpya kutoka kwa Mzee Yussuf na Jahazi Modern Taarab wakimshirikisha Vanessa Mdee katika wimbo mpya HEWALLAH.

BARAKA DA PRINCE - SIWEZI ( New Audio )


kupakua official Audio ya @Barakah_DaPrince brand new kwa jina #SIWEZI produced by @manecky_amrecs na HAPA https://youtu.be/seXwsIlwdEY Kutazama Official Video directed by @kevinboscojnr powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com @djhaazu @j4cinyo @vmgafrica #SupportYourOwn --

ZAIID KUZALIWA NA KIMBAU MBAU 28/ JANUARY.


#kaatayari kwa wimbo mpya kutoka kwa #ZAiiD @zaiidyao uitwao #kimbaumbau utakaotoka siku yake ya kuzaliwa #28jan

Tino mafia ft Dranuel WHY Direct by Essem Creator (OFFICIAL VIDEO)


Tino mafia ft Dranuel WHY Direct by Essem Creator (OFFICIAL VIDEO)

SWEET FLAVOUR - POLE POLE ( New Audio )


Hello! Mpaka hivi sasa kumekua na so many short video clips za watu mbali mbali zilizo sambaa sana sana mitandaoni wakiji record huku wakiimba nakutumiana wimbo wa Pole Pole ulioimbwa na vijana wapya katika tasnia hii ya Music. Vijana hawa wenye sauti yakubembeleza wanaoitwa Sweet Flavour wamekua nitishio sana kwa wengi kutokana na vile wimbo wao ulivyoweza kusambaa kama umeme mitandaoni. Kwa muda mchache tu baada ya wimbo huu kudakwa na moja kati ya watu waliotembelea studio za Kaburu Records nakuutuma kwa mwenzake na mwenzake pia kwa mwenzake wimbo huu umekua ukisambaa kwa kasi sana nakuinua maswali mengi kwa wapenzi wa Music. Wengi wamekua wakitaka kuwajua zaidi vijana hawa wenye sauti zakuwavutia na kuwaburudisha wengi haswaa wakina dada mpaka kuwapelekea kuushika wimbo huu kwa kipindi kifupi tu na hapa ndipo utakapo pata nafasi yakuwajua Sweet Flavour. Sweet Flavour nikundi la vijina wawili toka Kaburu Entertainment wakiwa kama label nakusimamiwa kazi zao zote hapo chini ya Kaburu Entertainment. Vijana hawa T More na Singano huu ni wimbo wao wa kwanza kabisa na umeonyesha neema kubwa baada yamashabika kuupokea vyema. Wimbo umefanyika Kaburu Music Studio chini ya Producer Father Beat a.k.a Kona nakusimamiwa na CBH a.k.a Sampa Music King. Zaidi na zaidi wimbo huu wenye melody yakuto toka kichwani pindi ukiusikia, vijana hawa wameweka kilio chao chote ndani ya mapenzi nakulalamika juu ya mapenzi yanayowatesa wengi huku bado wakijishusha kinyonge! Wamejaribu kuwakilisha kila chozi la mnyonge wamapenzi nakumfanya kila mtu aguswe nakuhisi wimbo huu ni sahihi kumtumia mpenzi wake. Sio maneno tu! Sikiliza wibo huu hapa alafu utajua nikipi kimeupa nafasi yakupenya nakupendwa nawatu wengi.

WAKAZI AOMBA KUPIGIWA KURA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA KORA 2016.


MWANAMUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA,AJULIKANAE KWA JINA LA WAKAZI, AKA SWAGGER BOVU BEBERU, ACHAGULIWA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MWANA MUZIKI BORA WA TUZO ZA KORA 2016. YAFUATAYO NIMAELEKEZO JINSI YA KUMPIGIA KURA. TUMA "Kora 123" kwenda +248984000 kumpigia Kura Wakazi (@wakazimusic) kama #BestHipHopAct Kwenye #Kora2016 Unaweza kupiga Kura mara nyingi uwezavyo ili kuleta ushindi Nyumbani. Kila sms itakugharimu 137 Tsh. Zoezi la upigaji kura limeanza tangu tar 24/01/2016 na kwa mujibu wa wakazi mwenyewe linatarajiwa kwenda kwa wiki 5 zaidi. #SupportYourOwn #Patachimbika TIZAMA HAPA VIDEO FUPI YA WASANII ANAO CHUANA NAO KATIKA KATEGORY MOJA AFRICA.

G NAKO - ORIGINAL OG ( New Audio )


Kupakua wimbo wa #MrOG @gnakowarawara kwa jina #OG "ORIGINAL" toka studio za The Industry produced by @NahReel huku tukisubiri Official Video Release 18th January Jumatatu Jioni @MtvBaseAfrica na baadae @youtube na TV Stations Zote kwa mawasilano/mahojiano check na @gnakowarawara kwa nambari +255 715 593 041 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn --

TRUBADOUR GEORGE FT IBBRAH - UZURI WA SURA ( New Video )


This Is A New Video From TRUBADOUR Tittled "UZURI WA SURA" Featuring R&B Sensation Ibrah. This Is Official Single From His Upcoming Album Set To Drop Later 2016. Recorded At Bantu Studio Produced By Molento & Mixed By Cjamoker.

Friday, January 22, 2016

LINEX - KWA HELA ( New Audio )


MSANII : LINEX JINA LA WIMBO : KWA HELA STUDIO : HAPPY STUDIO PRODUCER : EMA THE BOY NAMBA YA SIMU YA LINEX : 0717 996654

REAL ICE - UTANIPENDA ( Audio Remix Ya Diamond)


Artst..real ice Producer...k sam Chris rec... Utanipenda remix

AY - ZIGO ( DeeJay Domz Remix )


Dear Sir/Madame Attached is a remix of AY's ZIGO by upcoming producer DeeJay Domz based in Cape Town.

Wednesday, January 20, 2016

MSAMI BABY - MABAWA ( New Audio )


Hii hapa nafasi yako na wewe kuburudika na MABAWA ya Msami Baby! Wimbo mpya kabisa uliotengenezwa na Aby Dad, Chaiderz Recs. Peperuka nao hapa >

LAKI KID ft KASHKEED & KEYSHA BROWN - DRINK IN TWO STEP ( New Video )


Official music video | Laki kid ft Kashkeed & Keysha brown - 2 step

PREZO - MREMBO ( New Audio )


PREZZO ameangaziwa sana Kwenye mitandao za kijamii baada ya Kuhojiwa kwenye Televisheni Kuhusu huu wimbo wake mpya.Hebu kuwa wa Kwanza kupakua hapa wimbo wake “MREMBO”:

MACHO KWENYE FEDHA ( New Audio )


wimbo mpya wa Dj nass anajulikana kama Iringa boy akimshirikisha Rapper Nemy Mc.na Mkwawa wasanii toka nyanda za juu kusini.wimbo huu umeandaliwa katika studio za Sampamba Music zinazo julikana kwa jina la S.M.G Wimbo unaitwa Mcho kwenye Fedha

Saturday, January 16, 2016

SHWARIKUU VJ - NIMEBARIKIWA ( New Audio )


Kupakua wimbo wa @vj toka katika kandamseto yake ya #NimebarikiwaVOL1 inayopatikana kwenye @mkitodotcom na pia mtaani kwa nambari +255 716 941 696 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn

FIDOVATO - TENGENEZA PESA ( New Audio )


kupakua wimbo wa @fidovato kwa jina #TengenezaPesa ikiwa ni TrapHiphop style toka kwa @Goncherbeatz na vocals/mixing kwa @defxtro @noizmekah, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na #Vatoloco kwa nambari +255 783 825 519 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn

Friday, January 8, 2016

TRAIBO - NALOLI ( New Audio )


artist.traibo song..naloli studio..plexity recordz prod.zest mkali

CHACKSII FT JAMBO SQUAD - MR 2016 ( New Audio )


Kupakua wimbo wa #Chacksii toka Nyundo Power Crew na wimbo wake Mr 2016 akiwa amewashirikisha #JamboSquad @Chaliijambo @Odiijambo na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kwa nambari +255 754 326 385 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn

KIRANJA MC FT FIDOVATO - FANYA UFANYAVYO ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Kiranja MC ft Fidovato kwa jina #FanyaUfanyavo ikiwa ni Hiphop Category na kwa Mahojiano/Mawsiliano zaidi check nae kwa nambari +255 743 057 388 au +255 679 150 572 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn --

Chindo & Moplus ft One the incredible & WiseMan-Tunazidi Score ( New Audio )


kupakua wimbo wa @umbwax na @babawaukoo ft @onetheincredible & @WisemanTz ‪#‎TunazidiScore‬ Produced by @defxtro @noizmekah powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @defxtro @j4cinyo @djhaazu ‪#‎vmgafrica‬ ‪#‎SupportYourOwn‬ --

MWENENDOX - RISALA KWA MAGUFULI ( New Audio )


Wimbo mpya wa mwanamziki Mwenendox toka Tanzania amemuandikia Risala mheshimiwa Raisi John Pombe Magufuli wimbo huu umetayarishwa katika studio za Sampamba Music zilizopo nchini Tanzania ili kujua ameandika nini ungana nasi apa

Thursday, January 7, 2016

CBH - SEREBUKA ( New Video )


Hello! Happy New Year! The Official HD Video of CBH directed by Khalfani Khalmandro and Produced by Chrixtone The Melody SEREBUKA is now out. This is another Sampa Music Video! Be the first to see it. Enjoy and share. CBH Serebuka (Official Video HD Link) Watch here:- https://www.youtube.com/watch?v=LFoqeN0-Y7o Attached Files. 1 - CBH Serebuka (Official Video HD Link) 2 - Official Serebuka Video Cover 3 - Cover 4 - CBH Serebuka (Audio) 5 - CBH Serebuka (Beat With Intro) Find CBH on :- SoundCloud: CBH Official https://soundcloud.com/cbhofficial Instagram:- @cbhhalawa https://www.instagram.com/cbhhalawa/ Reverbnation: CBH Official https://www.reverbnation.com/cbhofficial Facebook:- Cbh Halawa https://www.facebook.com/cbhhalawa Twitter:- @CBHHalawa https://twitter.com/CBHHalawa Youtube:- Cbh Halawa https://www.youtube.com/channel/UCZLYlCVGUWmoapjDPNqjGNg Contacts:- Phone +255717115129 P.O.Box 75974 Dar es Salaam, Tanzania. Email cbhofficial@gmail.com

MWASITI FT QUEEN DARLIN - SEMA NAE ( New Audio )


Kuwa wa kwanza kujiachia na wimbo mpya wa Mwasiti na Queen Darlin Sema Nae! Link >

JYP - SIHOFII ( New Audio )


Kupakua wimbo wa JYP kwa jina "SIHOFII" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nae kwa +255 714 158 650 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn --

DILEMA (Tamthilia): SOON TOKA IRINGA KUINGIA MTAANI, TIZAMA KIPANDE KIDOGO HAPA.



Dilemma ni web series ya lugha ya kiswahili, inayohusu maisha ya wanachuo na mapenzi yaliyojawa na usaliti, ugomvi na furaha. Hii ni tamthilia inayokuja amabayo itakuwa inaonyeshwa youtube imetengenezwa na vijana wa iringa kuwakilishwa kusini mwa Tanzania. Stay Tuned for that.
trailer ii fupi

SHARAY FT RUFF G - NIWE NAWE ( New Audio )


kupakua wimbo wa SHARAY ft @ruffgmusic Ngoma kwa jina "Niwe Nawe" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Sharay kwa nambari +255 752 466 030 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn --

Friday, January 1, 2016

SNAZY - USIONDOKE ( New Audio )


NIMEKUSOGEZEA WIMBO MYA WA MWANAMUZIKI SNAZY.

John D Ft Tc - Kanipandisha Jah ( New Video )


John D Ft Tc - Kanipandisha Jah Imeongozwa Na Dr.Sammy Studio Tunaomba Support Yako mdau.

NELLY JAKANO FT REAL JOFU - PINYOKETHORE ( New Video )


Singer Name:- Nelly Jakano Ft. Real Jofu Song Name:- Pinyokethore Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Studio:- Chief Music Directed:- Abdu

FREGE - I WISH I KNEW ( New Audio )



Artist_-         FREGE
Track-           I WISH I KNEW
Studio-         BANTU MUSIC
Contacts-    0716 404 111
http://mdundo.com/search?q=frege+i+wish