Monday, September 14, 2015

SKOSAH FT COUNTRY BOY, BRIGHT - KWENYE MONEY ( New Audio )


skiliza mzigo mpya toka kwa Skosah akiwa kamshirikisha country boy na bright ngoma kafanya chizan brain.

DULLAYO - UMBEA ( New Audio )



Official Audio Dullayo _Umbeya . Baada ya kimya kirefu Mwanamziki dullayo amerudi na wimbo mpya unaoitwa Umbeya 'link ya mkito na audio vipo apa chini.asante

NUH MZIWANDA - HADITH ( New Audio )


Pokea wimbo mpya wa Nuh Mziwanda "HADITH" Link >

SNAIDA - UKAWA ( New Audio )


JINA LA MSANII SNAIDA MOBILE NO 0675149976 WIMBO UNAITWA UKAWA TAIFA KUBWA TUNASHUKULU KWA SUPPORT YAKO.MUNGU IBARIKI TANZANIA

UKAWA - TAIFA KUBWA ( New Audio )


JINA LA MSANII SNAIDA MOBILE NO 0675149976 Ungana nami kua wakwanza kuusikiliza wimbo Uloimbwa na mwanamuziki Snaida Kuhusiana na Ukawa.

MANSU-LI KUJA PUNDE NAMZIGO MPYA AKIWA NA DULLY SYKES NDANI. ( Coming Soon )


Kama bango lionyeshavyo hapo, Mkali wao kwenye Hip Hop Toka Sinza Dar, Mansu Li apost picha hio ikionyesha tar 22 mwezi huu wa 09 anatua namzigo npya ukiwa umefanyika studio za 4.12 za mkali wao Dully sykes. Inategemewa kua pia Sauti ya Dully itasikika humo ndani. Kukuthibitishia hili Ungana nami kwakubofya link hapo chini ya ukurasa wa Mansu Li kujua zaidi.

HARMONIZE - AIYOLA ( New Audio )


Kutoka label mpya ya Wasafi Classic ni msanii chipukizi Harmonize na wimbo mpya AIYOLA! Link >

BILL NASS FT T.I.D - LIGI NDOGO ( New Audio )


kutana namzigo mkali toka kwa mwanamuziki Bill Nass ujulikanao kama Ligi ndogo akiwa kamshirikisha Mkongwe T.I.D Top in Dar.

PRINCE AMOS - MOTO WA MTAKASAJI ( New Gospel )


Track Mpya kabisa WIMBO: Moto Wa Mtakasaji MSANII: Prince Amos WEBSITE: www.princeamos.com VIDEO: https://www.youtube.com/watch?v=9sqgJ2H8QPI

BONTA MAARIFA - MAPENZI MATAMU ( New Audio )


Leo rapper Bonta Maarifa ameachia wimbo mpya "Mapenzi Matam" uliotayarishwa na mmoja wa watayarishaji nguli Tanzania, Chizan Brain Link >

SAMPAMBA MUSIC ( SILLEY ) FT JAY MIKE - TICK TOCK ( New Audio )


Niwasanii toka Tanzania walio chini ya Studio inayojulikana kwa jina la Sampamba Music wakimshirikisha msanii toka Marekani anayejulikana kwa jina la Jay mike wimbo wao unaoitwa [Tick Tock] ambao umefanyika katika studio za Sampamba Music zilizopo Tanzania[Iringa] na Studio za Allusion Muzik zilizopo Marekani. Wimbo wao unaitwa Tick Tock au Saa ya mshale unazungumzia maisha ya kila siku ya kijana mtafutaji.Producers walio shiriki kuuandaa wimbo huu ni Producer Silley toka Tanzania [Sampamba Music] na Jay Mike toka Marekani [Allusion Muzic] mawasiliano 0763231052 au sampamba59@gmail.com na allusionfilms23@gmail.com. Ahsante

DIGITAL FLAVOUR - ZUMBUKUKU ( New Audio )


kupakua wimbo wa Digital Fleva kwa jina Zumbukuku na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 766 682 670 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn --