Sunday, September 6, 2015

DAMIAN SOUL FT G NAKO - TUDUMISHE ( New Audio )


Mfalme wa Soul music nchini Tanzania ameungana na mkali wa kuchana G Nako katika track iitwayo TUDUMISHE ikiwa katika miondoko ya Reggae. Pata flava hii kali hapa

DARASSA FT MR BLUE - HEYA HAYE ( New Audio )


Mkito uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu sasa upo hewani! Darassa akimshirikisha Mr Blue, Heya Haye Link >

FEZA FT CHEGE - SANUKA ( New Audio )


Feza (Cheda) akishirikiana na Chege wameachia mpya SANUKA! Link

WAKAZI - PARTY (New audio )


Kama hukupata nafasi ya kusikia ngoma mpya ya Wakazi alioachia hivii karibuni basi nafasi yako hii hapa! Wimbo wa Wakazi "Party Exclusive" ni wimbo mpya uliotengenezwa na Cjamoker kutoka kwenye alabam yake Kisimani atakayoiachia hivi karibuni Pakua hapa

ISAYA - ASIA ( New Video )


Singer Name:- Isaya Song Name:- Asia Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Director:- I'Com Papir & Saimako Youtube Video Link>>

JUMA ENGLISH FT PLACK & NAHUM - ACHA WASEME ( New Audio )


Bofya HAPA https://mkito.com/song/acha-waseme-ft-plack-and-nahum/15640 Kupakua wimbo wa Juma English ft Plack & Nahum kwa Jina "Acha Waseme" na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nae kwa Nambari +255 766 860 782 powered by @vmgafrica @noizmekah @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @stewatgeorge @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

NAKAAYA FT KALA JEREMIAH - NIMECHOKA ( New Audio )


MANENO KUTOKA KWA NAKAAYA: Leo ndio siku ninayoachia nyimbo yangu "nimechoka" naomba uisikilize, vilevile mtumie na mwenzio. Sambaza UJUMBE. Ninaamini kuwa wote tukizungumza bila uoga, tukiamka... tunaweza kuwa na Tanzania isiyo na ufisadi. Haijalishi wewe ni chama kipi, kilicho na maana ni- ukweli unaousimamia. Je hujachoka hizi sekeseke za hii serikali? Kwanini viongozi wetu hawahangaikii na kutatua vitu vya msingi? Afya, miundombinu, elimu nk. Ni sababu tunachagua fisi kuchunga mbuzi na wanapowala hao mbuzi eti tunashangaa! Mwaka huu, Mtanzania mwenzangu- chagua kwa busara...kwa hekima. Usimuangalie kavaa rangi gani au anatokea chama kipi...mwisho wa siku wote wanafanana fanana, ila angalia mtu binafsi, sera zake, historia yake ya maendeleo katika nchi hii na jimbo lake je yeye ndie atakaetupa uhuru? Kwa sababu ndugu yangu, sijui kama umeshashtukia...hatupo huru. Mapambano yanaendelea. Nakaaya Sumari - 2015