Tuesday, June 23, 2015

Salim Mkwawa FT dullayo - khalid ( New Audio )


wimbo mpya wa Mkwawa akimshirikisha Dullayo wimbo unaitwa Khalid umefanyika katika studio za Sampamba Music Iringa

APPETIZER FT CHUBBY - VEROSA ( New Audio )


Msanii:appetizer ft chubby Wimbo:verossa Producer:kid mane Studio:b one records Contact:0766930356 0652644778 Ahsante

FIDODIDO - WANSEGEJU - ( New Audio )


Jikite na wimbo mpya wa Fidodido, Wansegeju! Link >

SHILOLE - MALELE ( New Video )


Song Name/Jina la Nyimbo: Malele. Artist Name/Jina la Msanii: Shilole . Genre/Aina ya Nyimbo: BONGO FLEVA Directed/Mwongozaji: Khalifani. Producer/Mtengenezaji: Nahreel.

MSAMI BABY - YALAYALA ( New Video )


Song Name/Jina la Nyimbo: Yala Yala. Artist Name/Jina la Msanii: Msami . Genre/Aina ya Nyimbo: BONGO FLEVA Directed/Mwongozaji: AbyKaz. Producer/Mtengenezaji: AbyDady. Studio: Chaiderz Records

MSAMI BABY - YALAYALA ( New Audio )


Msami Baby aja ni kitu kingine kipya "Yala Yala" Pakua hapa >

LANGA FT SANAIPEI - WAZAZI WANGU ( New Audio )


Pakua wimbo mpya wa Langa "Wazazi Wangu" akimshirikisha Sanaipei kutoka Kenya Wimbo huu ni wimbo wa tatu kati ya nyimbo saba kuachiwa katika albam yake baada ya "Matawi Ya Juu" na "Hip Hop", albam iliyotengenezwa na Producer Tedd Josiah kutoka nchini Kenya

SAMATA - WANABOA ( New Video )


Huyu Ni msanii Wa Kizazi Kipya Lakini Pia ni Mhandisi,Anapenda sana Muziki ndio maana Pamoja na Usomi wake Bado Anafanya Muziki.Wanaboa ni wimbo Unaohusu MASIHA YA KILA SIKU HASA Uswahilini AMBAPO kUNA Tabia Nyingi za Ajabu Ajabu.Wimbo ni Nzuri sana.

NEWS: DJHAAZU AJIUNGA NA RADI 5 RASMI


By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organizer and IT Tech kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu.Ahsanteni wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah. NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea Radio 5 FM frequencies: Arusha 105.7fm Dar 91. 3Fm Mwanza 92.5fm Mbeya 93.8fm Dodoma 88.6fm Morogoro 94.8fm Tanga 98.9fm Mtwara 94.5fm Kigoma 87.7fm