Monday, June 8, 2015

CHRISS BEE FT FRAGA - COCONUT ( New Audio )


HII KUTOKA KWA CHRISS BEE Habari. Nianze kukushukuru wewe mdau unae support muziki wangu,toka naanza safari yangu ya muziki umekua nami kuhakikisha muziki wangu unasogea mahali unapotakiwa kufika shukrani sana na Mungu akubariki. Hizi ni track yangu mpya ya Tatu inaitwa COCONUT nikiwa nimemshirikisha Producer Fraga na imefanyika katika studio za Uprise Music.chini ya producer FRAGA. ni ngoma nzuri naomba tena support yako wewe mdau ili tuweze kusogeza muziki wa nyumbani mahala pengine asante. Mimi naitwa CHRIS BEE ni Mtangazaji na DJ kutoka kituo cha Matangazo cha Redio Bomba FM Mbeya. Mawasiliano:- +255 718 000 262

OCHU SHEGGY - DUMANGE ( New Audio )


KUTANA NA MDUNDO MKALI WAKIAFRIKA TOKA KWA MWANAMUZIKI OCHU SHEGGY MKALI WA VOCAL TANZANIA.

HUNTER BOY FT LEVY AFRICAN GIRL ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Mkali wa Reggae Riddim toka Moshi Town "Hunter Boy" katika ngoma kwa jina la "African Girl" featuring Levy, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nae kwa nambari +255 765 115 649 Powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom @defxtro #SupportYourOwn --

MTOZA MC - USIHUBIRI TENA ( New Audio )


Tunautambulisha kwenu wimbo mpya wa Mtoza mc toka kundi la MICHANO LUKUKI unaoitwa USIHUBIRI TENA.wimbo umefanywa na producer bwilu toka AB REC.Manzese tip top.Tunaomba sapoti yenu.Mawasiliano ni 0754871657.

JUMA NATURE FT MSAGA SUMU - INANIUMA SANA REMIX ( Audio )


Nguli wa Bongo Flava Sir Nature aka Juma Nature ameachia remix ya wimbo wake Inaniuma Sana akimshirikisha Msaga Sumu. Pakua hapa >

MY SELF A.K.A CHEMICAL_ft SOPRANO - SIKUELEWI ( New Audio )


This is brand new song from Kazi Kwanza Records Studio. Artist;- My self a.k.a Chemical track;- Sielewi We thanks for promoting us everyday.. Plz sapoti yako ni muhimu sana Ndugu Yangu. Radio Presenters DJS Na Wadau wote wa Muziki wa Bongo fleva. by Lawize Music Entertainment Mawasiliano Zaidi call me through_ +255 658 747 424

DYSO GANG - AMSHA POPO ( New Audio )


kupakua wimbo wa Dyso Gang kwa jina "Amsha Popo" powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn

WILDAD AGRIPA - NJEREE ( New Audio )


Sikiliza wimbo mpya wa Wildad Agripa - Njeree, msanii chipukizi wa Afro Pop Tanzania chini ya usimamizi wa Grace Africa!

JAMBO SQUAD - MACHUNGWA ( New Audio )


kupakua wimbo wa @JamboSquad @chaliijambo @odiijambo Ngoma kwa jina "Machungwa" toka @noizmekah kwa @defxtro na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na Jambo squad kwa nambari +255 762 164 241 & +255 653 610 249 7powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @evagodchance @batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn