Sunday, March 29, 2015

GANE FT JOSE BRAIZ - USIENDE MBALI ( New Video )


Kutoka audio production mpaka video production Tizama ujio mpya wa director Emmo Da Pro kwenye tasinia mpya ya video chini ya kampuni yake mpya ya video ijulikanayo kama EVO PICTUERS alichokifanya kwa msanii Gane ft Jose Braiz - Usiende mbali.Mawasiliano ya EMMO DA PRO 0714000209

JOHNROGERS FT LULU - MOYO WANGU ( New Audio )


Bofya HAPA https://mkito.com/song/moyo-wangu/13657 kupakua Audio ya John Rodgers ft Lulu kwa jina Moyo Wangu

JOHNRODGERS FT LULU - MOYO WANGU ( New Video )


kutazama Video chini ya muongozaji Decha kwa mahojiano/Mawasilano zaidi check na John Rodgers kwa nambari +255 686 276 890 powered @vmgafrica #SupportYourOwn @defxtro #vmgafrica --

T.H.E SANAA - YATIMA MUSIC ( New Audio )


Print conversation Print Open conversation in new window New window Wimbo umeimbwa na Kundi letu la Sanaa linaloitwa T.H.E na unaitwa Yatima music, umetengenezwa na producer Sele ktk studio yetu iitwayo swagger hits record