Sunday, March 22, 2015

Mandela the Sniper ft Zax 4real - Pata Nuru ( Audio )

artist from iringa mwenye dreams ya kuipeperusha bendera ya iringa national wides WIMBO: POATA NURU. STUDIO:BANTU RECORD (BEAT) AND GREEN RECORD (VOCAL) CONTACT:0759340650 0713423646 0687263293 EMAIL:mandelamdindile@gmail.com FACEBOOK: mandela mdindile. PLACE: IRINGA.

GK Ft Vanessa Mdee, Rawdgers & Hoox – SHUKRANI ( New Audio )


BAADA YA UKIMYA WA GK WA ZAIDI YA MIAKA 7, AJA NAWIMBO MPYA AKIWA KAMSHIRIKISHA GK Ft Vanessa Mdee, Rawdgers & Hoox – SHUKRANI

JUX - NIKUITE NAN ( New Video )


THIS VIDEO OF JUX IS DIRECTED BY DIRECTOR HANSCANNA.

JOKATE FT ICE PRINCE - LEO LEO ( New Audio )


Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kuachia suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince na kutengeneza Mkito Mpya wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina LEO LEO! Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas Jikite hapa