Saturday, February 28, 2015
LEIKIZ FT ORDINALLY - BOUNCE LIKE THIS ( New Audio )
Bofya HAPA https://mkito.com/song/bounce-like-this-ft-ordinally/13296 kupakua wimbo wa "Leikiz featuring Ordinally wa Jambo Squad" kwa jina "Bounce Like This" ikiwa ni HipHop Bounce category toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na LEIKIZ kwa nambari +255 712 685 636 Powered by @vmgafrica @mkitodotcom #SupportYourOwn @vmgafrica --
YUZZO WATENGWA - MC ( New Audio )
Hii ni release ya kwanza kubwa kutoka kwa Yuzzo kutoka kundi la Wantengwa tangia ahamie nchini Norway kuendeleza muziki wake. Pamoja na kuwa sasa anafanya muziki wa Live kwa kiasi kikubwa bado hajasahau alikotoka na hapa anakuletea wimbo wake MC (Emcee) huku akikumbushia alikotoka kwenye roots zake za Hip Hop. Download hapa pamoja na lyrics
JAMBO SQUAD - SHIGIDI ( New Audio )
Weekend Imewadia,Kanda Mseto ya Jambo Squad Inaendelea Kujaa Ngoma na Ijumaa Hii mashabiki wanajipatia goma la kubang nalo Weekend,ni Jambo Squad Version ya wimbo ule wa P Square-Shekini na umerekodiwa for FUN mahususi kwajili ya Mashabiki wa Watoto wa Bibi,Bofya HAPA https://mkito.com/song/shigidi/13275 kupakua "Shigidi" toka kwa Machalii ya Ara Vol 1 follow @jambosquad @chaliijambo @odiijambo @defxtro powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @mkitodotcom #SupportYourOwn #vmgafrica tazama Promo clip HAPA http://youtu.be/_rPrunWeAeI
Friday, February 27, 2015
KHALIGRAPH JONES - SONGEA ( New Audio )
Msanii maarufu wa Hip Hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones anakuletea wimbo wake mpya SONGEA ambao kwa sasa umeshika chati za Kenya. Khaligraph ni msanii anayetambulika sana KENYA na pia amewahi kuwashirikisha wasanii wakubwa wa nchini Kenya pamoja na nje ya Kenya.
HONE CLASSIC - WE MAMA ( New Audio )
Kupakua wimbo wake kwa jina "We Mama" ikiwa ni BongoFleva Category toka Noizmekah Studios chini ya @defxtro,kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na HONE Classic kwa nambari +255 767 861 349 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn #vmgafrica --
JITI TARAAA FT CHRISS JAY - WANGAPI ( New Audio )
PAKUA WIMBO WA JITI TARAA FT CHRISS J-WANGAPI KUTOKA DM RECORDS ARUSHA CHINI YA PRODUCER DR. REGGY KWA MAWASILIANO NA JITI TARAA #INSTAGRAM @jiti_taraa_msuya #FACEBOOK jiti taraa flows kateta #CALL and WATSAPP +255717060121 #supportafricanartist#
VIDEO YA FID Q KUINGIA MTAANI RASMI TAREHE 1 MARCH ( Coming Soon )
Mwanamuziki Nguli wa Hip Hop Tanzania Fareed Kubanda aka Fid Q, anataraji Ingiza mtaani video ya Wimbowake uitwao Bongo Hip Hop ilofanywa na Director Nisher Jumapili ya tar 1/3/2015. Uzinduzi wa video hio unataraji fanyika katika ukumbi wa club Billz jiji Dar es Salaam. Hayo yameweza thibitika baada ya msanii huyo kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram "Ok .. Deni kwisha..!! Billz ndiko kioo kitaonekana kwa mara yakwanza.. 1/3/15 <- save the date," Hiyo inataraji kua nivideo yake yakwanza yawimbo wake mwenyewe tangia ile ya SIHITAJI MARAFIKI Iliyotoka zaidi ya miaka Miwili iliyopita. Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI
HATIMAE CHID BENZ AACHIWA HURU NA MAHAKA KWA KESI YA MADAWA YAKULEVYA.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jana imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. ChidBenz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyere Jijini Dar es Salaam akiwa na madawa yakulevya aina ya bangi na Heroin. Mwanamuziki huyo ambae alikiri kosa hilo wiki ilio pita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa amejitayarisha kupanda ndege kwenda Jijini Mbeya kwenye Tamasha la Muziki. Sasa CHID BENZ kawa HURU kuanzia tarehe 26/02/2015 baada ya mahakama kutoa hukumu ya kifungo cha miaka Miwili jela, ama kutakiwa lipa fain ya pesa taslim Tsh 900,000/= Ambayo ililipwa mara moja nakumfanya kuwa huru.
PAKUA HAPA MIXTAPE ( Kanda Mseto ) YA P THE MC & ZAIID
P The MC pamoja na ZAiiD leo wameachia kanda mseto mpya kwenye tovuti ya Mkito. Sasa unaweza kupakua mix tape hiyo ya @pthemc na @zaiidyao inayoitwa "MWENGE KIWALANI" Kwa kuingia kwenye link hii hapa https://mkito.com/artist-profile/p-the-mc-na-zaiid/1076
IZZO B FT SHAA - KIDAWA ( New Video )
Official Music video for Kidawa performed by Izzo Bizness featuring Shaa, directed by Nick Dizzo of Focus Films,Tanzania . Produced by Dupy at Uprise Music and Mastered by Master J at MJ records. in Dar es Salaam, Tanzania. You can also Listen and download Kidawa Audio here http://bit.ly/1FNXhjM Follow Izzo Bizness on; Twitter: https://www.twitter.com/izzo_bizness (@izzo_bizness) Instagram: https://www.instagram.com/izzo_biznesss (@izzo_biznesss) Facebook: https://www.facebook.com/Izzo
Thursday, February 26, 2015
TANZANIA FEMALE ARTIST - SIMAMA NAMI ( New Audio )
Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah (Bongo Flava), 6. Grace Matata (Bongo Flava), 7. Jack Wolper (Bongo Movie), 8. Irene Uwoya (Bongo Movie) 9. Shilole (Bongo Flava/Bongo Movie) 10. Khadijanito (Bongo Flava) 11. Zamaradi (Mtangazaji wa Radio)
Tuesday, February 24, 2015
CHELLA FT G TONA - NINGEZALIWA DAR ( New Audio )
Greetings to every body,today is ma birthday and i have decided to introduce my new track which is called ningezaliwa dar mixed by necka beat from mkubwa na wanawe studio and beat produced by Geof master from tongwe rec.i'm goin by the name of CHELLA MICHANO LUKUKI,+255764191674 is my contact.Your support please,.
IZZO BIZNESS FT SHAA - KIDAWA ( New Audio )
Izzo Bizness aja na Mkito mpya #KIDAWA akimshirikisha Shaa. Mkito huu umetengenezwa na Dupy pamoja na Master Jay Pakua hapa
MIKE TEE FT ROSSIE M - NINGEJUA MAPEMA ( New Audio )
Artist ; Mike Tee feat Rossie M Song ; Ningejua Mapema Audio Produced By Mbezi Support Good Music / Support Tanzania Artists/ Support Bongo Flava Nashukuru sana.
Wednesday, February 18, 2015
ULE USIKU WA IRINGA BOY & MGAYASIDA WA DJ NAS JMOS HII HUU HAPA
UTASINDIKIZWA NA STAMINA, KALLA, NEY WAMITEGO, NEMY MC, ATTU MIVOCAL, NAWENGINE KIBAO NDANI WAKIMSINDIKIZA BILA KUMSAHAU FRESH ANDY AKA DOGO SCOPY NDAN...
KILICHOMSIKITISHA SANA CBH SIKU CHACHE KABLA YA SHOW YAKE ITAKAYOFANYIKA JMOS TAR 21.02
SIKILIZA HAPA KISA CHOTE... Me&MyFrIeNdS Chatrumz!!! Brings u... THE NIGHT OF MUSIC!!!! Partin, Clubbin, DvJ Mixing, Stars Special appearance & more!!! We gonna be dancing all night long... The show will be hosted by CBH aka Sampa Music King!! Jumamosi hii! Tarehe 21!! Seronera Night Club(Old Jacaranda) KinondonI 7000/= Tu! & get 1 free drink. Usikose! @meandmyfriendschats @cbhofficl @cbhhalawa #Tanzania #Kinondoni #Dar #Bongo
Saturday, February 14, 2015
Thursday, February 12, 2015
SNAIDA RAPPER - MUHTASARI WA HABARI ( New Video )
cheki kichupa kipya toka kwa snaida, Baada ya audio yake ya Muhtasari wa habari sasa katua na Video, Hii hapa.
CHRIS BEE FT NAY LEE - URUDI ( New Audio )
Mimi naitwa CHRIS BEE ni Mtangazaji na DJ kutoka kituo cha Matangazo cha Redio Bomba FM Mbeya. Mawasiliano:- +255 718 000 262
CHRIS BEE FT SAM FLAVOUR, FRAGA, & SILVIA - WALA REMIX ( New Audio )
Mimi naitwa CHRIS BEE ni Mtangazaji na DJ kutoka kituo cha Matangazo cha Redio Bomba FM Mbeya. Mawasiliano:- +255 718 000 262
Monday, February 9, 2015
RUBY - HUYU NAYULE ( New Audio )
Msanii kutoka Tanzania House of Talent RUBY anakuletea wimbo wake mpya NA YULE. Wimbo huu wa mapenzi umeandikwa na Barnaba, producer akiwa Tudy Thomas.
NIKI WAPILI FT JOHN MAKINI, G NAKO, NAHREEL, AIKA, JUX, & VANESSA - SAFARI ( New Audio )
Wimbo mpya kutoka kwa Nikki Wa Pili. Wimbo huu ameshirikishwa kaka mtu Joh Makini pamoja na G Nako, Nahreel, Aika, Jux na Vanessa Mdee.
Friday, February 6, 2015
TRIO - GIRLS EVERY WHERE ( New Audio )
please we need your support in this track Girls Everywhere by Trio. Artist - Trio {+255 (0) 767 768 189} Studio - Green Records {+255 (0) 652 397 748 } Producer - Gachi {+255 (0) 766 962 121}
BENNY WILLY FT IBRA - NAJUTA ( New Audio )
Anajulikana kama benny willy. Anautambulisha wimbo wake mpya aliomshirikisha Ibra toka doriva.wimbo unaitwa najuta umefanywa na producer Man dvd toka borkayz ent.ANaombeni sapoti yenu. contact zake 0713750226
Wednesday, February 4, 2015
SAIKAX - YOU ARE WRONG ( New Audio )
Kwa jina la kimuziki najulikana kama SAIKAX toka mkoani Njombe.Nautambulisha kwenu wimbo wangu mpya ujulikanao kama you are wrong,uliofanyika ktk studio za koma creative sound dar es salaam chini ya producer kona beats.Naombeni sapoti yenu.Mawasiliano yangu ni 0655307907.
Monday, February 2, 2015
MWASITI - KISIGINO ( New Audio )
Leo tarehe 2 Februari ni siku ya kuzaliwa ya Mwasiti Almas. Kama zawadi kwa fans wake ametoa wimbo wake mpya uitwao Kisigino chini ya producer Sheddy Clever. Pakua wimbo hapa:
STORRY: UJIO WA ALBUM MPYA YA NELLY B 2015.
FAHAMU UJIO MPYA WA ALBUM YAKWANZA YA NEELLY B AMBAYO INATARAJI TOKA MWAKA HUU 2015. #FAHAMU, Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake uliomtambulisha katika sanaa ya Hip Hop nyanda za juu kusini, rapper na mtangazaji wa kituo cha radio cha nuru fm mkoani iringa ndugu @NellyBee [nelly calocy msamilla] anatarajia kuja na project yake mpya hivi karibuni, kupitia akaunti zake za facebook na instagram rapper huyo amewaambia mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake mpya utaokwenda sambamba na album pia, kupitia picha ameweza kuonesha kuwa kuna watayarishaji wakubwa kama producer @PANCHO_LATINO wa B HITS MUSIC GROUP na producer @DUPYLILAI wa uprise music wakashiriki kutengeneza album hiyo ambayo mpaka sasa yeye mwenyewe hajataja jina la album hiyo.iringaTZA — with Nelly Calocy Msamilla.